Silence means "YES"
Hii topic ni so serious napendekeza ihamishwe MMU.
Reaction to kashfa inaweza kua silence au kujitetea.
Kama unaweza take a platform and say your version
Then piga kimya kama maji mtungini vile
But kwa kashfa za kijinga kabisa dawa ni kupuuza
yah it is very serious kujitetea mimi naona kunaongeza maswali mengi zaidi
Lazima kutoa version yako. Kama wamekukashifu kwa wazazi au kwa watu wa karibu, au kashfa ya ofisini lazima utoe version yako then upige kimya.
But kama ni watu huwajui wanakukashifu jf (mfano) hapo ni kuwadharau kwa kupiga kimya tu
Duh hiyo kali lakini Mwali mfano ofisi wamesema unatembea na MD na wakati sio kweli unahaja ya kueplain kweli?
Inabidi uangalie mazingira ya hizo shutuma na uzushi wenyewe, uzipime kisha ufanye uamuzi muafaka kama uzijibu ama uzipotezee, kuna mengine ukijibu ndo unayakuza zaidi ilhali mengine ukiyajibu ndo unayamaliza and vice versa. discern wisely lady...
A wiseman once said, even a Fish wouldn't caught if he kept his mounth shut .