swala la magendo mkoani KLM lipo kabla ya uhuru na wala haliwez kuisha manake wanaotakiwa kuikemea ndio wanaofaidika nayo.
nakumbuka miaka ile Jiwe ama Asprin wanaweza thibitisha ilikuwa bia zinasafirishwa kwa viroba toka kenya kuja tz na zilikuwa bia za tusker ama plisner nakumbuka, pia mafuta ya taa na mafuta ya kupikia imagine hao polis walifanya ndo mtaji na uzuri enzi zile Mahita alikuwa anajali chake ukimpooza unatoka kimaisha lol!
kimsingi mm biashara ya magendo niliifagilia kwa sababu kuu moja, kama njia za uchumi kwetu hazijafunguka watu wafanye nn?? waache waende kenya walete kappa oil, na kasuku watuuzie wapate hela wasomeshe watoto. sasa hivi ukienda mkuu sekondatri bila malaki ya pesa mtoto hapokelewi, KNCU haifanyi kazi useme utauza mazao huko, mahindi mvua ndo hizo watu wafanyeje?? serikali irasimishe tu hii biashara basi wananchi wafanye biashara hivi wafikiri wananchi wa mipakan wataish vipi??
moshi hakuna ardhi ya kulima kote ni nyumba, kilimo chenyewe cha mvua, ufugaji hakuna mahali pa kulishia mfugo viwanda hakuna watu wafanyeje??[/QUOTE]
"thought takes man out of servitude into freedom"....naona hata jinsi biashara inavyoenda mambo yanabadilika...doing that thing is not sustainable. Tuanze kutengeneza entrepreneurs waweze kuenda sambamba na uchumi wetu wa sasa unavyokwenda. Magendo mhhhh! Don't get me wrong...I like that place called Moshi
Ndahani tatizo sio wananchi kwenye biashara ya magendo bali ni serikali. wananchi wanaoish mpakani wanapata tabu sana, hawawekewi njia nzuri za wao kufanya biashara wakati wanataka pesa sasa wafanyeje?? serikali ingekuwa makin ingejiuliza inapoteza sh ngapi kwa biashara za magendo kisha itengeneze njia ambayo mfanyabiashara ataifanya iwe na tija kwa taifa sasa wao wanakuwa loose na wapenda rushwa tutegemee nini??swala la magendo mkoani KLM lipo kabla ya uhuru na wala haliwez kuisha manake wanaotakiwa kuikemea ndio wanaofaidika nayo.
nakumbuka miaka ile Jiwe ama Asprin wanaweza thibitisha ilikuwa bia zinasafirishwa kwa viroba toka kenya kuja tz na zilikuwa bia za tusker ama plisner nakumbuka, pia mafuta ya taa na mafuta ya kupikia imagine hao polis walifanya ndo mtaji na uzuri enzi zile Mahita alikuwa anajali chake ukimpooza unatoka kimaisha lol!
kimsingi mm biashara ya magendo niliifagilia kwa sababu kuu moja, kama njia za uchumi kwetu hazijafunguka watu wafanye nn?? waache waende kenya walete kappa oil, na kasuku watuuzie wapate hela wasomeshe watoto. sasa hivi ukienda mkuu sekondatri bila malaki ya pesa mtoto hapokelewi, KNCU haifanyi kazi useme utauza mazao huko, mahindi mvua ndo hizo watu wafanyeje?? serikali irasimishe tu hii biashara basi wananchi wafanye biashara hivi wafikiri wananchi wa mipakan wataish vipi??
moshi hakuna ardhi ya kulima kote ni nyumba, kilimo chenyewe cha mvua, ufugaji hakuna mahali pa kulishia mfugo viwanda hakuna watu wafanyeje??[/QUOTE]
"thought takes man out of servitude into freedom"....naona hata jinsi biashara inavyoenda mambo yanabadilika...doing that thing is not sustainable. Tuanze kutengeneza entrepreneurs waweze kuenda sambamba na uchumi wetu wa sasa unavyokwenda. Magendo mhhhh! Don't get me wrong...I like that place called Moshi
binafsi hata mm ikiwezekana na kama inalipa ni bora kuleta sukari toka kenya kuja kuuza tz nipate pesa kuliko kubaki nalia kila siku sina hela swala la nchi inafaidika nini litajibiwa kwenye leseni ya biashara dukan kwangu na kwenye kodi ya mapato.
Umenikumbusha mjombangu alikuwa dereva wa treni enzi hizo. Basi kwenye kichwa cha treni tulikuwa tunajaza mikreti ya Pilsner kama hatuna akili timamu. Tukiishusha Dar, wanywaji wa Temeke walikuwa wanapiga foleni kwenye grosare yake bubu. Bia zilikuwa hazikatiki pale. RIP Uncleswala la magendo mkoani KLM lipo kabla ya uhuru na wala haliwez kuisha manake wanaotakiwa kuikemea ndio wanaofaidika nayo.
nakumbuka miaka ile Jiwe ama Asprin wanaweza thibitisha ilikuwa bia zinasafirishwa kwa viroba toka kenya kuja tz na zilikuwa bia za tusker ama plisner nakumbuka, pia mafuta ya taa na mafuta ya kupikia imagine hao polis walifanya ndo mtaji na uzuri enzi zile Mahita alikuwa anajali chake ukimpooza unatoka kimaisha lol!
kimsingi mm biashara ya magendo niliifagilia kwa sababu kuu moja, kama njia za uchumi kwetu hazijafunguka watu wafanye nn?? waache waende kenya walete kappa oil, na kasuku watuuzie wapate hela wasomeshe watoto. sasa hivi ukienda mkuu sekondatri bila malaki ya pesa mtoto hapokelewi, KNCU haifanyi kazi useme utauza mazao huko, mahindi mvua ndo hizo watu wafanyeje?? serikali irasimishe tu hii biashara basi wananchi wafanye biashara hivi wafikiri wananchi wa mipakan wataish vipi??
moshi hakuna ardhi ya kulima kote ni nyumba, kilimo chenyewe cha mvua, ufugaji hakuna mahali pa kulishia mfugo viwanda hakuna watu wafanyeje??
hii story imejaa majungu. nashauri serikali iangalie kama kuna uhitaji mkubwa wa sukari ya Tanzania nchini Kenya basi wavishawishi viwanda vyetu viongeze uzalishaji na wafanyabiashara wapeleke sukari kwa wingi kiwanda kiajiri wafanyakazi zaidi, wafanyabiashara waneemeke na taifa lipate kodi na majungu yaishe. tuna nini? watanzania sukari toka malawi ikiingia nchini inakamatwa, sukari yetu ikiingia kenya inasindikizwa tubadilike.majungu si mtaji kalamu zenu zitoe ufumbuzi.
mosh bhana magendo ni sehem ya maisha ya pale,wanawake kwa wanaume
mkuu siyo huko tu, hata karagwe , kahawa yetu inasoko zuri tu, nchini uganda ambao nao bila shaka wanasafirisha nje ya nchi , lkn mkulima anavyosumbuliwa kuipeleka huko huwezi amini,sasa waandishi badala ya kuendekeza majungu ni vyema wakatumia kalamu zao , kushauri na kutoa ufumbuzi, kwanini? tung'ang'ane kupeleka sukari/kahawa Uingereza wakati Uganda/kenya wanazihitaji bidhaa hizo basi uwekwe utaratibu wa malipo ya USD kama tatizo ndo hilo.mkuuu amini usiamini viwanda vyetu vinauwezo mkubwa wa kuzalisha sukari nyingi ya kutosheleza nchini na kuuza kenya hii hali ya kuzalisha / kutoa stock kidogo ili soko liendelee kuwa na uhitaji na sukari ya nje iweze kuingizwa nchini na sukari hiyo inaagizwa na hao hao wamiliki wa viwanda vya sukari kwakuwa kwa kuagiza faida ni kubwa mno.Unajua hata mimi nashangaa kwanini hili halifanyiki? Au labda sababu ni kwamba sukari inayozalishwa haitoshelezi hata kwa watanzania wenyewe?
Yaani moshi hakuna Tajiri ambaye hajatajirika kwa magendo