Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,940
Viongozi wa CHADEMA ni majanga tupu.
Kwa hiyo kumbe Mh. Mbowe ni mzinzi kwa maana nyingine, tuhuma hizi ni za kweli.
Sasa kama maswala ya Uzinzi ni private affairs. Vipi hili swala la kupewa millions pesa za Tanzania na wale wale kila mara alikuwa akipanda kwenye majukwaa alikuwa anawaita mafisadi.
Pesa za huyu kada wa CCM alizochukua nazo ni private affairs
View attachment 132573
Tunaomba tufahamu mipaka ya private affairs nchini

Kama ameweza kuijibu hoja ya uzinzi, kwa nini hakutaka kuijibu hoja ya "double agent" kwa maana kuwa, mchana ni mpiga vita mafisadi na usiku ni mpokea pesa za mafisadi
Ndoa siyo jambo binafsi.Nakubaliana kabisa na Tundu Lissu.
Mambo binafsi ni mambo binafsi na hayana uhusiano wa moja kwa moja na uwezo wa kuongoza.
Ndoa siyo jambo binafsi.
Ndoa siyo jambo binafsi.
Kwa sababu ni mkataba baina ya mume, mke na jamii waliyopo.Kwa nini?
kama raisi wsko alisema swala la uraisi ni binafsi iweje swala kugonoja lisiwe binafsi...
unaweza kuthibitisha kuwa mbowe alipokea pesa kutoka kwa hao unao wadai kumbuka hata aliyeanzisha huo uongo anajuta na kwenye twitter haukukaa hata dakika tano akawa amefuta kama angekuwa na ushahidi asingefuta..Viongozi wa CHADEMA ni majanga tupu.
Kwa hiyo kumbe Mh. Mbowe ni mzinzi kwa maana nyingine, tuhuma hizi ni za kweli.
Sasa kama maswala ya Uzinzi ni private affairs. Vipi hili swala la kupewa millions pesa za Tanzania na wale wale kila mara alikuwa akipanda kwenye majukwaa alikuwa anawaita mafisadi.
Pesa za huyu kada wa CCM alizochukua nazo ni private affairs
View attachment 132573
Tunaomba tufahamu mipaka ya private affairs nchini
Kama ameweza kuijibu hoja ya uzinzi, kwa nini hakutaka kuijibu hoja ya "double agent" kwa maana kuwa, mchana ni mpiga vita mafisadi na usiku ni mpokea pesa za mafisadi
Rais alishasema mvua inaletwa na mungu ....kama raisi wsko alisema swala la uraisi ni binafsi iweje swala kugonoja lisiwe binafsi...
Matatizo ya ndoa ni mambo binafsi. Wengine hayatuhusu.
hilo liko wazi.....ndiyo maana hata kwa mkapa mengi talivumishwa oooh mke ni wa mramba kapewa kutimiza sifa tu ili awe rais lakini sisi tulijua mambo ya ndoa yake hayatuhusu...
viongozi wa chadema ni majanga tupu.
Kwa hiyo kumbe mh. Mbowe ni mzinzi kwa maana nyingine, tuhuma hizi ni za kweli.
Sasa kama maswala ya uzinzi ni private affairs. Vipi hili swala la kupewa millions pesa za tanzania na wale wale kila mara alikuwa akipanda kwenye majukwaa alikuwa anawaita mafisadi.
Pesa za huyu kada wa ccm alizochukua nazo ni private affairs
View attachment 132573
tunaomba tufahamu mipaka ya private affairs nchini
kama ameweza kuijibu hoja ya uzinzi, kwa nini hakutaka kuijibu hoja ya "double agent" kwa maana kuwa, mchana ni mpiga vita mafisadi na usiku ni mpokea pesa za mafisadi