Michael Amon
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 8,769
- 3,644
Ndio maana cpend madem waliotoka vyuoni, coz ni balaa unakuta ki2 imegongwa had bhaas!
Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.
Wewe kilaza vipi umeshajiunga Syria University? Hii habari ya umalaya wa wana Udom imesemwa na VC wa Udom, UDSM inaingiaje hapa?Huo ni ujuha na uzuzu wa kuamini ujinga kama huu wa mleta mada! Kila siku UDOM 2 tumechoka bhana na uwendawazimu kama huu wa kusingizia UDOM na wakati 80% ya mabinti wa UDOM wameokoka na wengine ni maustadhat wazuri na washika dini so habar za umalaya haziwei kuwa UDOM.
Ila umalaya umeshamiri sana huko huko kwa vilaza na wavivu wa kufikiri UDSM mnaofanya ufuksa wenu mabibo hostel hasa hasa, Pia uchafu na ushetwani wa kila aina upo kwa mazuzu na majuha UDSM ila sio kwa critical thinker na makamanda wa ukweli wa UDOM.
Hili jamaa ni kilaza la kufa mtu. Kama Mwanachuo anafundishwa na Tutorial Assistant toka First year mpaka Graduation atapata wapi uwezo wa kuchambua mambo kama msomi? Kweli tuna safari ndefu sana...form 6 kumbe upo kwenye chuo cha kata UDOM,ndio maana hata sayansi ya kuandika habari ni doro.Taarifa hii ya ukahaba rejea taarifa yahabri ya star tv jana saa mbili usiku na picha kumwaga na mwandishi Magoha.
Hili jamaa ni kilaza la kufa mtu. Kama Mwanachuo anafundishwa na Tutorial Assistant toka First year mpaka Graduation atapata wapi uwezo wa kuchambua mambo kama msomi? Kweli tuna safari ndefu sana...
Chuo Kikuu cha Dodoma ambacho kilianzishwa rasmi mwezi machi mwaka 2007 kimejipatia sifa kemkem za kitaaluma licha ya ukweli kwamba bado ni kigeni machoni pa wengi.
...wanachuo wanatoroka? Hata hvyo kule wanawauzia nani kama si waheshimiwa?....