Hili jambo si jema kabisa kila mtu apige picha kama linaendelea wanofanyiwa ni ndugu zetu,wadogo zetu,jirani zetu,rafiki zetu na mama wa watoto wetu hapo baadae kwa maelezo ya call center hapo jui inamaana ni sehemu ambayo imebeba umati mkubwa ambao huyo muhindi anamuingiloa mmoja baada ya mngine kila anapohitaji.....jamani tutafakari kwa makini ...hili jambo linagusa maisha yetu kwa njia moja au nyingine ...tujitahidi wale wenye dhamana walifuatilie kwa karibu ...ukwelib...uongo utajulikana tuokoe hiki kizazi maana si habari ya pesa tu ni habari ya afya za watu pia na huo mzunguko wake ni mkubwa mno ....nashindwa hata kuelewa inakuaje mwisho wa siku....vilio!!