Kashfa ya kutisha jeshi la Polisi

Usalama wa raia na mali zao unasimamiwa na wahalifu tutegemee nini? Jeshi ovu haliwezi kulinda usalama wa raia yeyote zaidi ya kuwakandamiza na kuwashindilia risasi
 
Why mpaka leo Mrs. Chagonja ajakamatwa na kupelekwa mahakamani?why wanakamatwa dagaaa kila siku(komba) mapapa wanaachwa?
 
Hata ukipiga hiyo namba iliyotolewa hapo juu inabidi utoe rushwa ili ipokelewe
 

umenena mkuu, uko sahihi
 
Inaniwia ngumu kidogo kuamini nilichokisoma kwenye uzi hii. Inakuwaje watu wafikishwe chuo cha Polisi, watumie facilities za chuo cha Polisi bila Polisi wenyewe kuhusishwa au kujua? Kama hivyo ndivyo ilivyo, basi tuko uchi!
 
Muda si mrefu hii nchi itakuwa brain dead, recruitment ya security instruments inapochezewa sijui tutaponaje.
 
Sasa kama hata Polisi wanaingizwa kwa rushwa au wanatoa Rushwa ili wapate hizo nafasi, hivi ni nani atayebaki kweli kwenye hii ishu ya rushwa?? Nadhani ni mimi tu

Mbona wewe ni wa kwanza kwa rushwaa!
 
Haya, polisi wamegundua hili bado tunawapa lawama, je? wasingegundua zikaja taarifa za kiutafiti pia tungetoa lawama. hapa mimi nawapongeza saaana JESHI LA POLISI limegutuka mapema.

Na natoa ushauri pia kwa jeshi hilo lirudishe utaratibu wa zamani wa kusimamia ajira wao wenyewe kuliko sasa, kazi ya jeshi kusimamiwa na raia hapa ndipo kosa lilipoanzia na lawama nzima inaelekezwa kwenu ,unajua hata meneja wa idara ya maji akiwa mzembe na kusababisha ukosefu wa maji eneo fulani jamii ikikasirika na kutaka kuvunja sheria jeshi la polisi likija na kuzuia hali ile baasi lawama zote tutazielekeza kwao.

Hivyo ni vyema jeshi la polisi likajitazama na kuwa bora nyakati zote kimaadili na kiutendaji mnakumbuka mhMREMA bila kwenda depo lkn alijiita polisi no 1 na kuanza kuvuruga kikazi kila eneo mpaka akapewa unaibu waziri mkuu hewa.
 
Umenifurahisha mzee uliposema nchi ya ushikaji. Mimi nilisoma na mtu mmoja mjinga alikuwa anaburuta mkia shuleni! Baadaye akatokomea kwenye ualimu, sasa ni katibu mkuu tamisemi. Kazi yake pale ni kuvua sketi makatibu mhutasi na watumishi. Idara moja amejaza wake zake. Mpaka mmoja amempeleka kusoma saut-mwanza kwa gharama zake. Hakika nchi hii inahitaji maombezi.
 
mtowa na mpokeaji wote wachukuliwe hatua kali,vitu tunajitakia ss wenyewe kama watz,vijana kwel rushwa na ajira wapi?
 
polisi usajili wao uanzia mikoani kwa ma RPC.pale ccp ni usajili wa mwisho.
advera yy aliingiaje polis akitokea ufundi
 
Hii ndo serikali ya ccm bana
 
Yeye anayetoa Rushwa ili aajiriwe polisi na mpokeaji wote majizi tu, kuna haja gani ya kuhonga ili uwe polisi?!! kwani lazima uajiriwe polisi?!! hata ukilima bado utakua umeitumikia nchi yako kupitia eneo hilo la kilimo...nchi imegeuka kuwa ya kitapeli tapeli tuuu
 
Polisi ni mhimili mmojawapo wa kupambana na rushwa ,hivi kweli wa Jm hawa jamaa wanastahili hiyo sifa?,hii kweli inatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…