nzalendo
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 11,945
- 12,509
Utapeli na usanii unaojumuisha,baadhi ya maafisa nyeti na wafanyi biashara ambao ni wafadhili wa vitu vidogo vidogo kama vibanda vya kujistiri jua kwa matrafiki.
KWA KIFUPI.
Mfanyi baashara huenda Uturuki kisha hulipa kiduchu madhalan 30% kwa dhamana toka kwa maafisa nyeti.
Huchukua Trailer na kuja nazo bongo,then mfanya baashara huziacha hapa bandarini mpaka miezi mitatu ipite,halaafu Bandari hufanya mnada,lakini kiuhalisia anaye nunua ni yuleyule mfanyi baashara.
Mturuki akija shituka anaambiwa aaah zishauzwa mie nshafilisikaga.Dah.
Image ya TZ huharibiwa na wafanyi baahsara dizani ile.
Au VOP