KASHFA: Wabongo wafanya utapeli katika ununuzi wa Trailer za SERIN(Uturuki)

Kumbe wabongo ni mafundi wa kupiga kross golini kiroho safi.Kagame kwake ni ruksa kuiba inje ya nchi na kuingiza Rwanda.
 
Kumbe wabongo ni mafundi wa kupiga kross golini kiroho safi.Kagame kwake ni ruksa kuiba inje ya nchi na kuingiza Rwanda.
Zamani passport ya Tanzania iliheshimika sana huko Duniani,
Kwa sasa pasi ya Tizii,hubeba taswira ya uhalifu.
Ndipo tulipofikia kwa sasa.
 
Ni hivi....mfanyabiashara anaenda nje ya nchi mfano China, ananunua mzigo ila analipa small deposit labda 20% anakubaliana na wauzaji wa huko kuwa mzigo ukifika anamalizia balance na wao wamtumie BL ili atoe mzigo.

Sasa huyu 'mfanyabiashara' akifika bongo na mzigo ukifika anajizungusha, halipi balance kule alikoagiza mzigo hadi TRA wanapiga mzigo mnada kwa sababu umekaa bandarini zaidi ya muda fulani. Huyu huyu mfanyabiashara anapiga deal ananunua mzigo huu kwa thamani ndogo sana.

Wale wahusika kule nje ya nchi wakimdai anawaambia alikuwa na matatizo kifedha kashindwa kutoa mzigo na umepigwa mnada na TRA!
Hao wauzaji wa huko hawana MAFIOSO?....
 
Hawa nao walikuwa wanapata mahela ya bure....sasa ni zamu yao kuishi kama mashetaniiii....mujini ma akili jama!
 
Na jamaa anakuhakikishia kua anao ushahidi wote na majina ya vigogo ambao wanapiga dili hizi,,,hii ndio bongo land.
 
6427581379_4f2d291be7_b.jpg


Utapeli na usanii unaojumuisha,baadhi ya maafisa nyeti na wafanyi biashara ambao ni wafadhili wa vitu vidogo vidogo kama vibanda vya kujistiri jua kwa matrafiki.

KWA KIFUPI.
Mfanyi baashara[Color/] wafanyi baahsara[Color/]
 
Kajifunze uandishi na maneno yenyewe, pili ujumbe wako haujaunda maana ya lengo lako,
 
Back
Top Bottom