Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

malaika mkuu wa uongo (shetani)
 
Ni wazi kuwa uteuzi huu umekuwa mwiba mchungu maana nashindwa kuelewa humu mara jamaa ni TISS agent mara ana kshfa mara elimu ya kuunga unga ..jamai kweli kuwa mshabiki wa vyama ni shida haya lumbaneni msisi tunachokihitaji ni maendeleo ..maana wote CCM NA CDM mnategemeana kwa namna moja ama nyigine
 
mleta Uzi ndio wewe hapo mwenye T-shirt nyekundu ?
 
Chama kinadunisha viwango vya elimu kila uchao ili wapatikane mambumbumbu wengi wa kuaminishwa upuuzi kama huu kirahisi rahisi.
 
Certificate nyingine kasoma april mpaka april, au alikua anarudia chekechea, uongozi ni upeo, uwezo wa kuona mbali sio ma vyeti yakuungaunga

Wa kwenu anaona mbali sana na nimsomi sana, hata tembo wana mjua
 
Du
Kwa kweli FISIEM wamepagawa.
Kwa uandishi huu ni wazi kuwa Ugambani kuna watu watakuwa Mataahira very Soon
Usimlinganishe tahira na mtu wa namna hii mkuu, utamkosea heshima tahira.
 
Herufi kubwa tupu = maongezi ya sauti ya juu! sijaona sababu ya mno kufanya hivyo.
 
Najiuliza iweje ccm wanalalamika sana kushinda chadema kwa madai kwamba katibu mkuu mpya hafai, najiuliza kama hafai, uwezo wake ni mdogo, wala sio msomi, wao wanaathiriwa na kitu gani, wao wanapoteza nini, iweje wana lalamika sana kuliko wenye katibu wao. ..

Nilichojifunza ambacho ni kweli. ...Kwamba ukiona maccm wana lialia, wanapiga kelele, wana lalamika sana ujue uchaguzi huo umetoa katibu bora, na ujue kisu kimegusa mfupa ndio maana wanalalamika kwa maumivu makali. ..

Take it from me jamaa jembe ndio maana kelele nyingi hapa jukwaani.
 
Nimeisoma Curriculum Vitae yake. Jamaa elimu yake ni ya kuunga unga sana.

Ana certificates nyingi balaa.
Uwezo wa kichwa chako ni MB1. Baadhi ya vichwa wangetengeneza Masaburi. Mtu ana PhD 1. Masters 3. Bachelor moja tena ya Makerere MD (Achana na Vi PR, Sociology, Public Admin, BA edn zenu), Certificates zile mf. ya Research, nk ni addional CV.
 
Haya kijana njoo hapa ofisi lumumba nikupe buku 7 ako...kazi nzuri sana[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
sijui ule mgao wa buku tano uliokua unahongwa kwa vijana poa na CCM wakati wa kampeni sijui bado unaendelea ?
 
Hahaha.. pole sana mkuu..naona mmeishiwa hoja sasa mnabwabwaja tu....

haya nenda uchukue posho yako..umemaliza kazi yako
 
Dada wakati unaandika ulikuwa kwenye Mahaba mazito nin?
 
Mkuu,mbona unaonekani kuwa kilaza sana?
ndio uwezo Wao wa kufikiri umeishia hapo mkuu..usimlaum

hawa vijana waoneen huruma Wao huandika tu kila wanaloambiwa ilimradi wamridhishe bosi Wao February malope...kazi sana
 
Mbona kama mwandishi anahema? Kakoswakoswa sehemu? Au alitoka kushughulika?
 
Nadhani ni msisitizo wa taarifa yake kwani wengine maandishi madogo hawaoni
Maandishi makubwa ni alama ya kupiga kelele pia mleta mada ana uchizi na kichwa chake kigumu kuelewa ndo mana kaandika pumba tu
 
Nimeisoma Curriculum Vitae yake. Jamaa elimu yake ni ya kuunga unga sana.

Ana certificates nyingi balaa.
Ogopa sana watu waliopitia Mzumbe na Elboro sekondari kwa elimu ya A level kuanzia kipindi alichosoma huyu jamaa. Chunguza, niambie wapo wapi sasa. Ni vichwa mana serikali ilitenga shule hizo ziwe za vipaji maalum na ni cream tu ilienda pale, (sijui kwa sasa) yaani form four kama ulichemsha shule zile huendi. Ukiniambia elimu ya kuunga unga unajua malengo ya mtu kusomea kitu flan? au unataka kulazimisha hoja!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…