Kashfa nzito ya Katibu Mkuu wa CHADEMA

Yatapngoewa mengi kuna sehemu nilisoma kuwa ni dr wa lowasa

Walitaka atoke kaskazini..ccm kweli ni akili ndogo

Hawana shukrani
 
Hata mwanamke huwezi andika upuuzi kama huu.
Sasa unataka nini, so what, au ulitaka uwe wewe?
Wanaume wambeya na waongo ni sumu ya maendeleo.
 
Hata mwanamke huwezi andika upuuzi kama huu.
Sasa unataka nini, so what, au ulitaka uwe wewe?
Wanaume wambeya na waongo ni sumu ya maendeleo.

Aisee tafadhali bana. Usilinganishe mama zetu na huyu zezeta.
 
BORA KUMPA MJINGA AANDIKE HII HADITHI KULIKO KUANDIKA MPUMBAVU
 
Kwa nini msisafiri na Magufuli kutumbua majipu yenu unawashwa na huyu??au umempenda ila yupo na mwingine unaleta wivu wa kishamba??pole sie tunamkubali na haturudi nyuma. Mungu akusamehe na akupe uwezo wa kufikiri
 

Kwenye ule mgomo maarufu Hamis Kigwangala ..alikuwa mmoja wa waandaaji wa ule mgomo !!!

Usimmsahau na yeye..
 
Huu ni udhalilishaji kwa dada,mama,shangazi n watoto wetu wa kike! Usirudie tena kutumia neno pedi kama sehemu za kuwakilisha hisia zako za chuki tafadhali!
Mtoa uzi twende nikakununulie pedi tafadhali.
 
CCM wasipoingia kwenye kitabu cha kumbukumbu cha Dunia nitashtaki.....
 

Ukisikia Mbweha anapiga kelele ujue jiwe limempata.Pole,mlichotegemea sicho
 
Mara hana elimu mara usomi wake hauna tija kwa taifa, mara aliongoza mgomo wa madaktari. What The F***
 
msomi usiyejua punctuation,una papara ya kupost,eti"ontellectuals"ndo nini kamasi tupu limejaa humu.stupid.
 
Yawezekana pia alikuwa kijana wa mwang'onda pale tiss. Pandikizi la lowassa!

Duh,JIPU lenu limepasuliwa bila ganzi,Poleni sana..................Bahati mbaya mabinti na vijana wote wa Lowassa wameoa na kuolewa,hivyo mpaka sasa hawezi kuwa mkweo.
 
Sidhani kama mleta mada anaweza kuwa na cheti zaidi ya chet cha kuzaliwa tu
 
unaonekana kama umetumbuliwa jipu la MAKATONI tena Limekaa kwenye 'O' aka N'NYA kwahiyo uchungu bado unakusumbua
 
wj.z@🙂 🙂?
dd, w 4
Fanya homework kwanza kabla kuposti kinyesi kilichojaa ubongoni mwako. CD za ukaskazini zimeisha, na sasa mnawayawaya na eti, za kuwa Daktari wa familia ya Mbowe! Za mwongo ni 40, aliyeposti hafahamu familia ya Mbowe haihitaji Daktari kwani kuna madaktari waliobobea kibao ndani ya familia akiwemo mkewe!
Mleta mada anajichanganya. Mara ooh amesoma kwa kuungaunga, vi certificate kibao, mara ooh aliongoza mgomo Muhimbili! Hivi mleta mada huyu ana akili kweli? Kama hakusoma ana certificate Muhimbili aliongozaje huo mgomo? Halafu kwa nini makuwadi wa CCM wana lugha za kuudhi namna hii? Kusoma kwa kuungaunga kuna madhara gani ikiwa amewaridhisha waliomtahini sawa na pengine kuwaziba waliosoma bila kuungaunga, kufaulu vizuri na kutambuliwa kisheria kwa ngazi na sifa alipo nazo?
Tuna orodha ya ma Dr's na maprofesa hapa nchini na dunia nzima walioanzia ngazi za chini kabisa na kupanda hadi kufikia PhD, ni sahihi kuwaponda kwa sababu moja tu, ya eti walisoma kwa kuungaunga?
Kuna ubaya gani kwa mtoto wa masikini kusoma kwa kiwango cha cheti au Diploma, akafanya kazi, kukusanya nguvu na baadae kurudi darasani kwa vishindo hadi kufikia ngazi za juu kabisa kama u Dr?
Mwisho kabisa wewe unayewaponda wasomi wa "kuungaunga" una kiwango gani kinachotambulika kisheria kama hata kukopi tu mada hii uliyoandikiwa na vibwengo wa Mtaa wa Lumumba uiposti umeshindwa hadi kuwakera watu kwa kutumia herufi kubwa tupu na makosa kibao? Tuwekee jina na CV yako tukuchambue kama kweli una ubavu huo!
 
Upeo wako nadhani ni mdogo sana kwenye siasa na ndio maana hata uandishi wako unaandika kishabiki, siasa ya kuongoza watu haihitaji PhD siasa ni sanaa ndogo mno inayohitaji uwezo mdogo tu wa kujenga hoja na kuzisimamia. Kama Aliweza kuitisha mgomo wa madaktari nchi nzima na akaweza kutikisa nchi basi anaweza, maana hao unadhani nimaintelectual walifeli, uwezo wao wa kutatua matatizo ni kuteka nyara watu na kuwang'oa kucha na meno? Je madereva nao waliosimamisha nchi wana PhD?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…