Hongera kwa kuwa mkakamavu, na kuusema ukweli
Tatizo umejielezea kitoto sana haikuwa na haja ya kujipambanua wewe kama wewe. Ulitakiwa kuusema ukweli kisha unaenda ngaz za juu kuusemea zaidi.
Mwanamageuzi hutakiwi kuwa hivyo wapasw kujilinda na kujali zaidi usalama wako na familia yako kuliko hisia zako.
Ndio maana Mh. Rais anataka kuinyoosha.Hii nchi ni ngumu sana asee
Ubinafsi ndio umewekwa mbeleHii nchi ni ngumu sana asee
Hawa jamaa wanatupangisha foleni kumbe makusudi.duh Nmb mnashida kumbe huwa mnaona Raha kutupangisha foleni kuanzia asubuhi mpaka jioni hamfai kabisa nyinyi
Usalama wako hapa kwa sasa ni mdogo sanaKwasasa Mkuu Hapa Jf Ndiyo Mahala Sahihi Ukweli Utajulikana Nawe Upo Salama Usiwe Na Hofu Wa Mashaka Nchi Hii Imefikia Kibaya Sana Yaani Imekufa Siyo Kuoza.
Huko kwenye Tenda ndani ya mabenki ndipo kuna wizi wa kutisha wengi hutumia makampuni yao kuiba pesa kupitia tenda mbalimbali.Hapo ni kwenye tenda ya umeme wa ATM tu! Bado kwenye software, mafuta, chai, spea za magari nk. Watanzania wamelaaniwa kabisa! Ndio maana sishangai mabenki kufirisika, maana kila sehemu. Wapinzani wa serikali hii ambao wengi ni sehemu ya wapigaji njoo huku, "eti afisa wa chini"
Aliyewafukuza wajerumani anajulikana akamatwe afikishwe mahakama mara moja ingawa anadai yy yupo juu ya sheria na kiburi cha pesa za Dili za tenda kinamdanganya kuwa atawanunua wote watakaotumwa kumchunguza.Hawa NMB wasiwe wazembe. waende pale Kimanga. Nimeenda mimi kuchukua hela kwenye ATM na nikakuta hii issue ni kweli. Niliwauliza walinzi, Wote wameshangaa sana walichofanyiwa. Wanasema atm ilikuwa haisumbui kipindi cha wajerumani, imeanza kusumbua sababu ya wakubwa. So huyu whistle blower inabidi alindwpe. Hata na huyo ofisa wa benki wanayetishia kumfukuza naye alindwe. Upuuzi wa nchi za Kiafrika. Teknolojia nzuri wanaletewa, alafu wanawafukuza Wajerumani. Matokeo yake wanachukua mchina. Bwege kabisa. sasa eneo liko gizani. sijui hata walinzi wanakikishiwaje usalama wao. Benki hovyo kabisa...Huyo mkurugenzi wa ugavi inabidi achunguzwe..........Magufuli amlinde huyo Ofisa wanayetaka kumtoa kafara.....hapa mimi issue nadhani ni 10%
inawezekana si kweli mleta habari ni mjanja hawezi kuwa mjinga kiasi hicho atakuwa kaandika hivyo ili kuwapoteza boya wasijue habari zimeletwa na nani, lakini 9 na 10 wajerumani wanaidai NMB na sababu za kung'oa mitambo yao zipo na wenyewe bado wapo Tanzania nina imani uchunguzi huru wa wazi ukifanyika Ukweli utajulikana tu, lakini ukifanyika uchunguzi wa chini kwa chini kisha Rushwa itembee humo tusitegemee kupata jawabu milele, hii ndiyo Tanzania ya maajabu hakuna kisichowezekana wala kushindikana.Taarifa ni nzuri, ila UMEJITOA MUHANGA kwa ishu ya kiboya sana, ambayo wala haikuhusu au kukuumiza ww moja kwa moja. Na kma wakitokea kudeal na ww perpendicular kwa kuwachafua, utajilaumu sn japo umejiona shujaa kwa kuaandika ukweli. Yan umeuza mechi kitoto. Tatizo umedisclose personal issues nyng sana kiasi kwmb wakiamua kukutafuta, unajulikana fasta sn. Kwa mfano tarehe uliyoondoka mapema kazini, huo muda ulioondoka (obvious uliandika barua ya ruhusa au kumuaga bosi wko), biashara yko kuwa karibu na ATM, kusema unakaa Tabata etc.
Taarifa ni nzuri, ila UMEJITOA MUHANGA kwa ishu ya kiboya sana, ambayo wala haikuhusu au kukuumiza ww moja kwa moja. Na kma wakitokea kudeal na ww perpendicular kwa kuwachafua, utajilaumu sn japo umejiona shujaa kwa kuaandika ukweli. Yan umeuza mechi kitoto. Tatizo umedisclose personal issues nyng sana kiasi kwmb wakiamua kukutafuta, unajulikana fasta sn. Kwa mfano tarehe uliyoondoka mapema kazini, huo muda ulioondoka (obvious uliandika barua ya ruhusa au kumuaga bosi wko), biashara yko kuwa karibu na ATM, kusema unakaa Tabata etc.
[HASHTAG]#Mods[/HASHTAG] naruhusiwa kutukana? Leo tu please