nmb wez wakubwa hawa,saiz wameongeza riba ktk mikopo yao toka 18 mpaka 22,pia wanawaliza sana wafanyakaz ambao wamelazimishwa na serikal lazma mishahara yao ipitie benk hyo! nch ya maajab sana'
Hiyo ya mwanae Na nyingine ilipaswa iwepo, hata angeunganisha kuwa alienda kunywa bia Bar inayoangaliziana na ATM mojawapo ya NMB! Hujawahi kuwa mwandishi...kama story Ni ya kweli vitu Kama hivyo vinafanya msomaji apate mtiririko mzuri Ili kuamini story