Unatumia vibaya hili jukwaa!Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
Nchi isiyo maalumKwani huyo dau kwa sasa ni balozi wa nchi gani?
Au ya kusadikika?Nchi isiyo maalum
Mkuu Pasco wachana naye maana ni chumia tumbo tuKimya cha pascal mayallah kinatia shaka
maana ndiye unofficial PR officer wa NSSF humu JF kuja kutetea uongozi mpya wa NSSF sijui kalipwa kiasi gani
maana alifikia hatua ya kulazimisha uongozi wa JF kufuta au kuhamisha threads ambazo zilikuwa critical kwa NSSF
nashangaa hii bado ipo humu
Wakristo wa hii nchi mnachuki sana, this is too much, jpm anateua wakristo kila siku mbona hampigi kelele?H
Hakuna chuki ktk ukweli aunt,dau aliharibu na mbaya zaidi alidharau kila mtu,hebu fuatilia ujue alivyomtoa singili pale azania benki kisa tu kafiri
DR. DAU ....DAU....DAU IS TOO MUCH...AMEWAKOSEA NINI HASWAAA MPAKA MAUJINGAJINGA HAYA YOTE MUMUANDAME NAYO YEYE....DARASA LA SABA AMA DAKTARI UTANZANIA WAO UMEEISHIA KWENYE DARASA AU? MNATAKA NINI NA HUYU MZEE. ..MIE NI MKRISTO BUT NOW AM STARTING TO FEEL UNAFIKI UNAKUWA IBADA KWA WATESI WA DAUMtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
DR. DAU ....DAU....DAU IS TOO MUCH...AMEWAKOSEA NINI HASWAAA MPAKA MAUJINGAJINGA HAYA YOTE MUMUANDAME NAYO YEYE....DARASA LA SABA AMA DAKTARI UTANZANIA WAO UMEEISHIA KWENYE DARASA AU? MNATAKA NINI NA HUYU MZEE. ..MIE NI MKRISTO BUT NOW AM STARTING TO FEEL UNAFIKI UNAKUWA IBADA KWA WATESI WA DAU
Tuna sifa zote za Ajira lakini tupo kitaa.I love TzMtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.

Huko NSSF yapo mengi yamejificha lakini NHC kuna mengi zaidi pindi majipu ya magu yakibisha hodi .Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
Aliyekuwa akimpa Pesa mayala katumbuliwa hana pa kupata chochote ndiyo maana kaamua kujikaushaKimya cha pascal mayallah kinatia shaka
maana ndiye unofficial PR officer wa NSSF humu JF kuja kutetea uongozi mpya wa NSSF sijui kalipwa kiasi gani
maana alifikia hatua ya kulazimisha uongozi wa JF kufuta au kuhamisha threads ambazo zilikuwa critical kwa NSSF
nashangaa hii bado ipo humu
Acha udini, toa hoja za msingi. Kama wote wameenda kusali wewe ulimuuliza nani akakupa majibu hayo?? And what if saturday and sunday would be working days, nawe ungeenda kufuata huduma ukaambiwa wameenda kusali ungekuja kutoa povu humu?? acha kuingilia uhuru wa kuabudu.Ivamiwe vipi mkuu si mjumbe kaeleza ya ukweli ukiwa na hoja mbishie,ila nssf ni majanga ukienda ofisi ya morogoro siku ya ijumaa saa sita hupati huduma ukiuliza wako wapi staff unaambiwa wameenda msikitini,ukidodosa utaambiwa jinsi dau alivyoisilimu nssf, ni majankaa,
Wewe utakuwa ulikula na kuishi Kwa Dau na pengine na mchepuko wake huwezi kujifanya kipofu kiasi hicho !!DR. DAU ....DAU....DAU IS TOO MUCH...AMEWAKOSEA NINI HASWAAA MPAKA MAUJINGAJINGA HAYA YOTE MUMUANDAME NAYO YEYE....DARASA LA SABA AMA DAKTARI UTANZANIA WAO UMEEISHIA KWENYE DARASA AU? MNATAKA NINI NA HUYU MZEE. ..MIE NI MKRISTO BUT NOW AM STARTING TO FEEL UNAFIKI UNAKUWA IBADA KWA WATESI WA DAU
Yaani huo utitiri wa viongozi wa NSSF waliosimamishwa kazi ni Majungu ? Kama yatakuwa Majungu basi itakuwa ni maajabu ya Dunia .Hii nchi bwana!
Majungu,umbea,unafki,usaliti,udini,ukabila,ukanda,undugu na mambo mengine mengi ya ajabu ajabu.
Siwezi kushangaa kwanini maendeleo yetu kama nchi yana mwendo wa kinyonga.
Mtakumbuka kuwa NSSF imegubikwa na ufisadi mkubwa uliopelekea Dau kuondolewa na kupewa ubalozi wakati akisubiri kupelekwa Kisutu na pia wakurugenzi na mameneja kusimamishwa.
Katika kituko kipya ni Mkurugenzi wa utawala kuajiri dereva ambaye hajui kuendesha gari na alipopelekwa Shinyanga alishindwa kuendesha gari hivyo kurudishwa Dar, baade Chiku Matesa alimpangia kazi nyigine NSSF Ilala.
Haitoshi huyu Matesa aliajiri office attendant ofisi ya Kibaha (darasa la saba) na baade kumpangia kazi ya kupanga stoo kazi ambayo hufanywa na Idara ya uhasibu, bila aibu aliajiri wafanyakazi 8 na kupelekwa NSSF Tanga (wote std seven) kama wahudumu na baadae kuwapangia kazi zingine, hao ni pamoja na ma house girl wake.
Mungu ibariki Tanzania.
nani huyo?Aliyekuwa akimpa Pesa mayala katumbuliwa hana pa kupata chochote ndiyo maana kaamua kujikausha
Umemjibu vema mkuu,wanadhani dau ni mtakatifu,huyu dau ni madharau yalimzidia ange keep low profile wasingemshugulikia ila aliona mtu pekee ni jk na kujibu hovyohovyo hata waziri wake alikuwa anamdharau hamshirikishi mambo ya nssf na hata pm pinda hakumjali,jpm ndo kabisaaaa nakumbuka kuna insidence binamu wa jpm alieda na kimemo amsaidie ishu fulani ila alivyojua tu ni kafiri alimnyima msaada,na ile ishu ya daraja na majibu ya kunya alopata toka kwa mzee wa azimio,dau dauuuuu ole wakoooWewe utakuwa ulikula na kuishi Kwa Dau na pengine na mchepuko wake huwezi kujifanya kipofu kiasi hicho !!