chikutentema
JF-Expert Member
- Dec 10, 2012
- 7,730
- 5,013
Kumbe lusungo huwa una akili siku zote ulikuwa wapi kuzimia naona tangu ishu ya escrow unajadili kitaifa zaidi au ww ni yule mwanasheria wa Tanesco aliyefukuzwa kazi na kubambikiwa kesi?Mkuu inasikitisha Sana TZ imekua Kama Nyumba isiyo na wakaaji tuchukue maamuzi magumu 2015...
Zileteni tu tuzisikilize, tushazoea kusikia vitu vizito then vinayeyuka kama barafu. Ndoho sheeda!
watasema hamuishi majungu?
this is inferiority complex,,,if somethin bad delivererd/spoken out,we(majority) should show express our feelings and take action......
Kama JK ni msikivu avunje Baraza LOOOOTE
Kwani kwenye kulipa bill za umeme, maji, nyumba, shule, chakula na matibabu kuna ushabiki? Afadhali hata wanajeshi wana military duty free shop.