Hizo za Sukari Pinda anahusika moja kwa moja, kwani kawapa marafiki au watu waliokaribu naye hiyo kazi ya kuagiza sukari na kuahidiwa "Msaada wa hali na mali mwakani" pinda anajisahau sana sijui kwa nini? yakimfika shingoni ndo anaomba msaada wa kusaidiwa asiwajibishwe.
Hiyo ya Gas!!!!
ajitahidi awe msafi pia
news is seven days wonder-Bill ClintonWatanzania ni wepesi kusahau na wagumu kukumbuka yaliyopita, EPA, Richmond, Tokomeza, , Ulimboka, Bomba la gesi, Escrow, vijisent, n.k. Walishasoma tabia ya watanzania walivyo na wanaitumia tabia hii watanzania vizuri sana.
Zitto washughulikie na ufisadi Wa bomba la gesi......
Masikini nchi yangu TZ......