Kashfa nyingine Kamati ya Miss Tanzania

Kashfa nyingine Kamati ya Miss Tanzania

Nel Nelson

Senior Member
Joined
Jan 2, 2014
Posts
154
Reaction score
43
Miss Tanzania mwaka 2013, Happiness Watimanywa amesema hakustahili kuwa mshindi wa taji hilo kwaka 2013, amesema hayo wakati akiongea na kituo cha Star TV na habari hiyo kurushwa jana katika kipindi cha Michezo na Burudani na amedai kwamba hata yeye alishangaa alipotangazwa mshindi manake hakuwa na vigezo kuwashinda warembo wengine na ndipo alipoistukia Kamati ya Mashindano hayo kuwa haitendi HAKI.

Binafsi bila kupepesea macho nauliza:

  1. Mosi: Je kama hakuwa na vigezo kama alivyokiri mwenyewe kwa nini alishiriki shindano hilo?
  2. Pili: Je anataka kutuambia kwamba Majaji wa shindano hilo ni VIMEO?
  3. Tatu: Je atukubaliana na mimi kwamba uwezo wake wa kufikiri na kutafakari mambo (IQ) ni chini ya wastani au ziro (0)
  4. Nne: Je au ndiyo yaleyale ya RUSHWA YA NGONO? Nawasilisha
 
hapo lundenga anatafutwa hapo.. dogo ameshatengenezwa na watu ahakikishe lundenga anarudi kijijini..

na kwa mwendo huu lundenga analo maana watu wameamua kumpoteza mazima.. leseni ya kuendesha miss tanzania ndio hataipata tena...

mwisho wa siku shindano linakuwa mali ya basata na linaendeshwa na serikali ili watu wahakikishe lundenga anaondoka mjini hapa.. maana ndio chakula chake anakipatia miss tz
 
​Inspector Haroun anasema umaarufu hauwezi kuja bure bila kuwa buuuuuuuusy
 
Kamati ya miss Tanzania ni ubabaishaji mtupu, kuhusu suala la siti hata majaji ilitakiwa wawajibishwe, kwa kigezo kimoja tu sitti alijibu swali ktk lugha ambayo hakuichagua, pili kama lundenga alihongwa ili sitti awe mshindi ni wazi hata majaji walihusika pia na huo mshiko, ndio maana hata zawadi aliyopewa hadharani ni tofauti na aliyotangazwa, pili ameshindwa mumnyang'anya sitti zawadi ili apewe mshindi alierithi taji kwa nini? Kuna madudu kwa lundenga bora apumzishwe., Happy ana hasira inasemekana alijilipia garama zote za kwenda miss world na asingefanya hivyo ni wazi asingeshiriki kwani kina Lundenga walikuwa wameshindwa hata kumpa tiketi ya kwenda kwenye hayo mashindano. Full ubabaishaji.
 
Miss Tanzania mwaka 2013, Happiness Watimanywa amesema hakustahili kuwa mshindi wa taji hilo kwaka 2013, amesema hayo wakati akiongea na kituo cha Star TV na habari hiyo kurushwa jana katika kipindi cha Michezo na Burudani na amedai kwamba hata yeye alishangaa alipotangazwa mshindi manake hakuwa na vigezo kuwashinda warembo wengine na ndipo alipoistukia Kamati ya Mashindano hayo kuwa haitendi HAKI.

Binafsi bila kupepesea macho nauliza:

  1. Mosi: Je kama hakuwa na vigezo kama alivyokiri mwenyewe kwa nini alishiriki shindano hilo?
  2. Pili: Je anataka kutuambia kwamba Majaji wa shindano hilo ni VIMEO?
  3. Tatu: Je atukubaliana na mimi kwamba uwezo wake wa kufikiri na kutafakari mambo (IQ) ni chini ya wastani au ziro (0)
  4. Nne: Je au ndiyo yaleyale ya RUSHWA YA NGONO? Nawasilisha

Ila namkubali sana huyu dada, kwa kweli namtamani mno, ananivutia sana.
 
Jana hakuonekana mtamu, nkadhani na yeye ametoka kupigwa jua la jkt.
 
Miss Tanzania mwaka 2013, Happiness Watimanywa amesema hakustahili kuwa mshindi wa taji hilo kwaka 2013, amesema hayo wakati akiongea na kituo cha Star TV na habari hiyo kurushwa jana katika kipindi cha Michezo na Burudani na amedai kwamba hata yeye alishangaa alipotangazwa mshindi manake hakuwa na vigezo kuwashinda warembo wengine na ndipo alipoistukia Kamati ya Mashindano hayo kuwa haitendi HAKI.

Binafsi bila kupepesea macho nauliza:

  1. Mosi: Je kama hakuwa na vigezo kama alivyokiri mwenyewe kwa nini alishiriki shindano hilo?
  2. Pili: Je anataka kutuambia kwamba Majaji wa shindano hilo ni VIMEO?
  3. Tatu: Je atukubaliana na mimi kwamba uwezo wake wa kufikiri na kutafakari mambo (IQ) ni chini ya wastani au ziro (0)
  4. Nne: Je au ndiyo yaleyale ya RUSHWA YA NGONO? Nawasilisha

Labda kuna kitu alionga ili ashinde, vinginevyo angetaa kwa wakati ule tungejua ukweli, lakini kwa sasa amechemsha bora akae kimya.
 
Tungesikia sauti yake maana nchi hii watu wanaongea kiswahili kwa lugha zao za kienyeji, makabila mengine mimi sifai kabisa maana halisi ni kuwa waliniona nafaa na ndivyo ilivyo
 
Miss Tanzania mwaka 2013, Happiness Watimanywa amesema hakustahili kuwa mshindi wa taji hilo kwaka 2013, amesema hayo wakati akiongea na kituo cha Star TV na habari hiyo kurushwa jana katika kipindi cha Michezo na Burudani na amedai kwamba hata yeye alishangaa alipotangazwa mshindi manake hakuwa na vigezo kuwashinda warembo wengine na ndipo alipoistukia Kamati ya Mashindano hayo kuwa haitendi HAKI.

Binafsi bila kupepesea macho nauliza:

  1. Mosi: Je kama hakuwa na vigezo kama alivyokiri mwenyewe kwa nini alishiriki shindano hilo?
  2. Pili: Je anataka kutuambia kwamba Majaji wa shindano hilo ni VIMEO?
  3. Tatu: Je atukubaliana na mimi kwamba uwezo wake wa kufikiri na kutafakari mambo (IQ) ni chini ya wastani au ziro (0)
  4. Nne: Je au ndiyo yaleyale ya RUSHWA YA NGONO? Nawasilisha
Ukifikiri kwa makini utagundua kwamba huyo binti ana akili na busara nyingi sana. Hapo amejishusha badala ya kujikweza na kupandisha mabega. Kaonyesha ukomavu sana huyo binti. Nampa hongera zake nyingi
 
Wengine waliochangia hapo juu hawakuelewa anachomaanisha. Naona umewajulisha sawa.
 
Yule muhindi mwenye ugomvi na lundenga kaamua kumpoteza uncle,bongo fitna,lundenga kwishney.
 
Inashamgaza shindani kufungiwa miaka miwili halafu walioharibu shindano hawajafukuzwa
 
Back
Top Bottom