Deleted_account
JF-Expert Member
- Nov 1, 2008
- 3,385
- 3,704
Wale jamaa wana sera yao inaitwa tii sheria bila shuruti ukikataa utashurutishwa tu.ebu fikiria kwanini hawakukupiga wewe wampige yule tu?
Ni maeneo ya kigamboni-kibada askari polisi wamempiga dereva wa magari makubwa yanayosafirisha mafuta. Polisi walimpiga vibaya dereva huyo juzi usiku bila kuwa na sababu ya msingi na wakamuacha hapohapo,kibaya ni kwamba hata wananchi walitaka kuingilia lakini waliogopa kwasababu polisi walikuwa na bunduki. Taarifa zimemfikia IGP na sasa hivi mkuu wa kitua kigamboni anashughulikia hilo suala. Kwenye hiyo defender ya polisi alikuwa mtu anaitwa khatibh aka mavi ni maarufu kwa kupiga watu na mwanamke anaitwa Suzy aka sunita.
Tunaomba jeshi la polisi liache kutesa watu. taarifa hizi ni uhakika na naomba mods msitoe huu uzi
GeoMexDaah niliiona hii katika habari so sad. Wamemdunda yule dereva wakaiba mchele, nyanya alivyokua navyo kwenye cabin. Wakakwara na wallet na simu yake halafu askari kumi kweli wanampiga raia kwaajili ya mchele? This is madness
Askari wetu wanapenda sana kupiga piga raia bila ya jambo la msingi
Alafu kuna watu hamna akili kabisa hivi unaweza shadadia na kuongea vitu ambavyo havina msingi fikilia angekuwa mmoja kati ya damu yenu ya baba na mama ako acha ushamba na porojo za kijinga bwanaWale jamaa wana sera yao inaitwa tii sheria bila shuruti ukikataa utashurutishwa tu.ebu fikiria kwanini hawakukupiga wewe wampige yule tu?
Hizi damu zinawasumbua sana polisi na watoto wao ndo sababu watoto wao dasani ni ngumu kuelewa kutokana na laana ambazo baba zao au mama zao wamewalimbikizia toka kwa raia wanaowatesa