Kashfa: ni kweli wasanii wanaidai CCM pesa za kampeni?

kitumbotala

JF-Expert Member
Aug 6, 2015
516
623
Wakuu hodi humu ndani,

Nimeipata hii kutoka kwenye mkutano wa Wema sepetu aliposema wanaidai CCM pesa na wakiulizia wanaambiwa wanaambiwa wakamdai Kikwete. Kama hii ni kweli basi ni hatari sana kwa hiki chama. Hii laana itakitafuna chama.

Tulimtaka Mfalme Sauli wenyewe na amekuwa mwiba shingoni mwetu.
CCM oyeeeeeee......

WhatsApp Image 2017-02-24 at 16.14.17.jpeg


Source: Jamii Forum Instagram.
 
Hawa wasanii hawatakiwi kulipwa chochote si waliamua kupiga kampeni wenyewe tena walitoa maneno ya kashfa, wakasahau what goes around comes around.
 
Kudaiwa siyo dhambi, dhambi ni unapogoma kulipa halafu ukaanza kutishia watu.
 
Hawa wasanii hawatakiwi kulipwa chochote si waliamua kupiga kampeni wenyewe tena walitoa maneno ya kashfa, wakasahau what goes around comes around.
Hapana mkuu lile chama liliwarubuni kuwa watawapa mkwanja ndio maana uliona vurugu zilivyokuwa majukwaani.

Mimi nasema sisiem acheni dhuruma walipeni wasanii pesa yao,2020 mikanga yenu na kofia mnazotuleteaga vijijini tutawaunguza navyo.tumechoka kudharauliwa na kudanganywa.

Tuliambiwa matajiri wataishi kama mashetani mkatuaminisha cc wanyonge tutaishi kama malaika lakini sasa tunaishi kama vinyamkela hakika nasema tutawapiga kwa virungu wakati ukifika tunawasubiri mkuye.
 
Back
Top Bottom