ameen mkuu! ameen! na kizazi chake kitatafunwa na kilio na mchozi ya huyu kaka shomari, IN JESUS NAME WE PRAY, AMENNNNNN! imeniuma sana, kudhulumiwa kwa ajili tu mtu fulani alikuwa bingwa wa kuweka V katikati ya miguu yake enzi za ujana wake! shame on u janet mbene!Oly God knows. Namwachia Mungu ataonyesha. Na hii laana itamla huyu mama kizazi chke cha kwanza hadi kizazi cha kumi na wote tusema ameen! inauma sana kuona huyu mama asivyotosheka.
Matumizi mabaya ya madaraka
Acha Janet atumie madaraka yake ya hapa ulimwengtuni, atakuja kupata haki yake baadayeUsalama wa Taifa hauwezi kumgusa, she has deep connections there, amezaa watoto na Maige ambae ni former head of National Security na pia mme wake wa kwanza nae alikuwa spy. Pia ana connections nyingine kubwa zaidi, hakuna Mtanzania mwingine aliyewahi kuteuliwa Mbunge wa bure mara mbili, ni Janet Mbene tu. Na si bure.
Duuuh, pamoja na CV yote hii anagombea uenyekiti wa serikali za mitaa?CV nzuri lakini toka aungane na CCM, naye anekuwa Fisadi
[h=1]Janet Mbene[/h]Janet Mbene is founder and Director of SIA Limited, a private firm that provides capacity-building support for small and medium enterprises.
Ms. Mbene has a rich history in development economics, banking, and international and regional trade. Her diverse background includes leadership positions in the private sector and in the United Nations before joining the non-profit sector. Prior to leading Mwengo, Ms. Mbene worked with Oxfam International, the UN Development Program, the International Labor Organization, and several international nongovernmental organizations. Her work focused on mobilizing producers and entrepreneurs into associations, building their capacity to improve production and manage their enterprises better, facilitating access to markets, campaigning for better conditions through dialogue with relevant authorities, and promoting fair trade policies. She has also led rights and empowerment programs for women and youth, particularly in advocacy, training in legal concepts and instruments, and microfinance and income-generation. Ms. Mbene has also interspersed her career with short-term consultancies around entrepreneurship development (e.g. with TechnoServe in 2007); research and analysis around rural microfinance services (e.g. with the Economic and Social Research Foundation in Tanzania); and financial services to small and medial enterprises (e.g. with a project of the Austrian government in Tanzania).
Alongside her work with SIA Limited, Ms. Mbene is also the founder and chairperson of YATIMA Trust on HIV/AIDS in Tanzania, which provides support for children who were orphaned or partially orphaned by HIV/AIDS and advocates for policy changes protecting orphans and orphanages. She is also a founding Trustee of the Association of Women Economists in Tanzania, promoting economic literacy and empowerment of particularly rural women.
Ms. Mbene has a Master's degree in economics from the University of New England in Australia. SIA Limited aims to contribute to poverty eradication and sustainable growth support and promote entrepreneurs leading small and medium enterprises (SMEs) in Tanzania, and to contribute to the policy dialogue on SMEs and rural development in Tanzania. SIA targets start-up entrepreneurs in rural and urban areas, as well as local government bodies working with local communities in need of planning, implementation, and monitoring and evaluation capacities. Additionally, Ms. Mbene serves as chairperson for Getting Old is to Grow (GOIG), an NGO involved in advocacy around aged-people, which also supports vocational training centers in handicraft work for youth, as well as a project for orphans left in the care of their grandparents. She co-founded an NGO to offer support to home based orphans living with relatives.
Huyu Naibu Waziri wa Fedha Janeti Mbene ameanza kutumia vibaya madaraka yake kwa ajili ya kujinufaisha yeye binafsi. Hivi karibuni Naibu Waziri huyu ameuelekeza uongozi wa Manispaa ya Kinondoni kwenda kubomoa nyumba ya kijana mmoja maeneo ya Masaki karibu na Double Tree hoteli kwa kusingizia eti anataka eneo hilo lijengwe ofisi za mtendaji wa mtaa. Eneo hilo limekuwa na mgogoro kwa siku nyingi kwani kijana Shomari ambaye huko nyuma aliwahi kutoswa baharini na kuokolewa amekuwa akiishi katika eneo na nyumba hiyo tokea bibi yake akiwepo. Bibi yake Shomari aliishi katika eneo hilo tokea enzi za ukoloni na eneo hilo inaonesha lilipimwa mwaka 1948 na kuwekwa katika mpango wa kujengwa barabara. Wanaoishi katika eneo hilo waliahidiwa kufidiwa lakini haikufanyika hivyo na badala yake wakawa wanaelekezwa wajenge makazi yasiyo ya kudumu ili Serikali ikiamua kutekeleza mradi wake wa kujenga barabara iwe rahisi. Kilichotokea bwana Shomari aliwahi kufuatwa na mmiliki wa Double Tree ili amuuzie hilo eneo. Shomari alipokataa huyo mmiliki wa Double Tree aliamua kumfuata Mwenyekiti wa Mtaa ambaye ni Janeti Mbene ili amsaidie kupata eneo hilo. Janeti Mbene akiwa kama Mwenyekiti wa Mtaa alikubali na kisha naye akawa ametamani eneo hilo ili wagawane na mmiliki wa Double Tree, ndipo wakaanza kufuatilia ili kulipata eneo hilo na kuzua mgogoro. Walipoona wanakwama wakamtumia mtu mwingine ajulikanaye kama Jaspreet ili amfungulie kesi Shomari kuwa amevamia eneo lake. Bwana huyu kaja na hati ya kufoji inayoonesha kama yeye ni lmmiliki wa eneo hilo tokea mwaka 1996. Hayo yote yameendelea kukwama kwa sababu ukweli kuhusu kiwanja hicho unabaki kuwa dhahiri kuwa Shomari ndiye mmiliki halali wa eneo hilo. Hivi karibuni kilichotokea mara baada ya Janeti Mbene kuteuliwa kuwa Naibu Waziri alienda kwenye uongozi wa Kinondoni na kuwaelekeza wakamtoe kwa nguvu bwana Shomari, ndipo hao watu wakampa notisi na kisha juzi wakaenda kutekeleza azma yao ya kubomoa na kuharibu haribu kila kitu. Wamewachukua hadi watoto wake ili kumlazimisha aondoke eneo hili. Ukibahatika kufika pale utahuzunika sana jinsi palivyo kwani kuna walinzi wanaolipwa na Janeti Mbene wanalinda eneo hilo ambalo tayri limewekwa uzio wa mabati kuonesha kuwa kuna nyumba itajengwa hapo. Bwana Shomari amebakishiwa banda ambalo analala yeye tu. Akiwa ndani ya uzio amezingwa, nje ya banda analolala kuna mbwa, bata kuku na makororo kibao, kitu ambacho kinasikitisha sana. Yaani huyu kijana kafanyiwa uonevu wa hali ya juu na hata hatima yake haijulikani kwani uongozi wa Kinondoni Manispaa unasema hautaki kabisa kumaliza mgogoro huo kwa sababu hawahusiki na anayehusika ni Naibu Waziri Janeti Mbene. Ili kuelewa zaidi haya ninayoyasema unaweza kusoma baadhi ya nyaraka kuhusu mgogoro ambazo nakuwekea hapa baada ya muda mfupi ujao.
hapo ndipo ninapoapaga kuja kufa kwa kudhulumiwa hata kijiko changu! mahayawani wa ccmafisi shame on u pipo! hamna aibu na hamumuogopi MUNGU MUUMBA! ardhi itawafunika na kutoa mafunza cku itakapofika, ardhi hiyohiyo mnafanyia dhuluma! nawatema ccmafisi puuuuuuuu!

Profiles zake...kweli you can't trust most of our politicians!regardless of their 'profiles'
Janet Mbene - Tanzania | LinkedIn
https://profiles.google.com/105008091061723175789#105008091061723175789/about
Senior Fellow: Janet Mbene