Kashfa - Naibu Waziri Janeti Mbene ameanza kutumia madaraka yake vibaya

Leo ndio nimeamini JUNGU KUU HALIKOSI UKOKO!

Hii habari inahitaji uchunguzi wa kina.
 
What is the background of this naibu waziri?

Exactly, tuanzie na background yake, amesoma nini na amefanya kazi gani na kwa ufanisi gani, then tunaweza kumuweka kwenye mizani vizuri. Power is so sweet, kiasi cha kudhani umekuwa delegeted na Mungu.
 
Oly God knows. Namwachia Mungu ataonyesha. Na hii laana itamla huyu mama kizazi chke cha kwanza hadi kizazi cha kumi na wote tusema ameen! inauma sana kuona huyu mama asivyotosheka.
 
Huyo Shomari aende kwa Mama Tibaijuka haraka na atarudishiwa eneo lake.... au aende ofisi ya PM ikiwa wizara ya ardhi hata pata msaada haraka.... mwelekeze hivyo...au aende kwa wanasheria watamtetea bure mahakamani....
 
huyu mama anatakiwa awe makini sana maana vyeo ni dhamana leo yeye kesho mwingine na awea na huruma asitumie madara kama fimbo kunyanyasa wengine
 
Hii siyo number ya kubenea nimempigia ili nimuambie amsaidie amepokea mtu mwingine naitwa Idi.
 
maisha mafupi malipo yake hapa hapa duniani
atakuja kujuta lakini takuwa too late
kama yasemwayo ni kweli naamini huyu mama yatampata makubwa maishani mwake
 
Hii siyo number ya kubenea nimempigia ili nimuambie amsaidie amepokea mtu mwingine naitwa Idi....

MwanaHalisi limefungiwa. Jaribu kuwatafuta Raia Mwema au JAMHURI hawaogopi. Mtafute Manyerere (0759 488 955)atakusaidia.
 
Nadhani DR Mwanjelwa atafurahi akisikia habari hii. Pamoja ni nje ya uzi lakini hawa wawili wanamgombea JK Mwanjelwa analalamika ati yeye ndo alistahili kuwa waziri kwa vile kazaa na Mkulu. Sasa ona, na kama habari hii ni kweli basi JK kazi anayo kwani inji hii itaendeshwa kimafiamafia
 
inauma sana, lakini huyu kaka asikae kimya, sasa hivi mwendo ni kupiga kelele, ukinyamaza wanafanya kweli. ukipiga kelele unaalert, uma unajua kuna jambo lisilo haki linaloendelea, naamini wako watu na taasisi zenye uwezo wa kuingilia kati na haki ikarudishwa. jamani watz, sasa hivi tujue tu kuwa tunaishi na mbwa mwitu tena asiyengoja mkono udondoke, anakuja kuunyofoa kabisa, unatolewa roho live na hawashtuki ile nafsi na dhamira zao zimekufa kabisa, ni zaidi ya wanyama kama wanavyoonekana. shame on them
 
Usalama wa taifa umelala fofofo
Usalama wa Taifa hauwezi kumgusa, she has deep connections there, amezaa watoto na Maige ambae ni former head of National Security na pia mme wake wa kwanza nae alikuwa spy. Pia ana connections nyingine kubwa zaidi, hakuna Mtanzania mwingine aliyewahi kuteuliwa Mbunge wa bure mara mbili, ni Janet Mbene tu. Na si bure.
 
Usalama wa Taifa hauwezi kumgusa, she has deep connections there, amezaa watoto na Maige ambae ni former head of National Security na pia mme wake wa kwanza nae alikuwa spy. Pia ana connections nyingine kubwa zaidi, hakuna Mtanzania mwingine aliyewahi kuteuliwa Mbunge wa bure mara mbili, ni Janet Mbene tu. Na si bure.

Du, kumbe ni mzizi! Anyway na hii imefika huku basi watu ni kiboko
 
Vyeo vya kupeana kitqndani hivi haya ndo madhara yake

Dah naomba nisipigwe ban maana baadhi ya maneno nimenukuu kutoka kwenye kauli ya DC wa huko tanga amabye mpaka leo hajawajibishwa na mwajiri wake which means kuwa kauli aliyoitoa haina madhara kwa jamii. Hivi vyeo vya chupi havitusaidii hata kidogo
 
Serikali dhaifu haiwezi kutetea watu wake. Kama ni kweli Waziri Mbene atakuwa ameingia kwenye tope la udhaifu. Atazidi kuaminisha watu kuwa ndani ya CCM hakuna aliye msafi. Na atazidi kudhihirisha kuwa si kweli mara zote kuwa wanawake wakipewa wanaweza.
 
hapo ndipo ninapoapaga kuja kufa kwa kudhulumiwa hata kijiko changu! mahayawani wa ccmafisi shame on u pipo! hamna aibu na hamumuogopi MUNGU MUUMBA! ardhi itawafunika na kutoa mafunza cku itakapofika, ardhi hiyohiyo mnafanyia dhuluma! nawatema ccmafisi puuuuuuuu!
 
Back
Top Bottom