Hivi hii inji ya tanganyika ni nani aliyeturoga? Haya ni matunda ya serikali 'sikivu' ya CCM.
Mi sijawahi kughushi. KAMA ULIGHUSHI WEWE USIDHANI NI WOTE. Koma kama ulivyokoma kunyonya titi la mama yako.
Nadhani nawe ni miongoni mwa hao mapolisi wagushi wa vyeti. Pisheni vijana wasomi waingie wapige kazi na kuwadhibiti hao mnaodhani kuwa watakuwa boko haram.
Kama nani mkuu? ila sishangai,,police kuna kubebana acha kabisawatoto wa chagonja nao ni wagushi vyeti wazuri nawajua vizuri nimesoma nao f4 wamefeli vibaya but sasa wana vyeo vikubwa tuu.
tumpongeze IGP MANGU NI MTU makini hana doa ya rushwa ila tumwombee Mungu maadui wanaomchukia kazini ni wengi na mpaka amalize mda wake kila mtanzania atasifia jeshi la polisi.
Mangu ameruhusu askari wengi kujiendeleza kimasomo pia jeshi kwa sasa inaajiri vijana wenye taaluma
UTII WA SHERIA BILA SHURUTI
Kama walifaulu mafunzo ccp wawaache tu waendelee na kazi lakini wavuliwe vyeo walivyopata kwa kugushi