Kashfa kwa wa Tz mitandao ya Kenya

rafikimkweli

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2013
Posts
349
Reaction score
121
Yaani wakenya wameamu kutuona mazuzu kabisa, ona jinsi wanavyopost kwenye mitandao yao.

Nyambaf zao!!
 

Attachments

  • hatari.jpg
    15.3 KB · Views: 1,446
ha ha ha haina shida,kwani wao bila ya kutawaliwa na waingereza mpaka sasa wasingekua na tofauti na sisi,Ila yote ni uwivu jinsi uchumi wa Tz unavyokua kwa kasi tena maeneo yote ya nchi.Nafasi ya wao kuwa kaka mkuu Afrika Mashariki haipo tena,
 
ati unagonga hodi kwa lift????
ndo maana hamtakiwi kwa EAC?
 
Unajua huwezi kumzuia mtu kuwaza au kusema chochote juu yako.
 
Hahahaha kazi ipo imewauma sana kutowaunga mkono na jumuiya yao fake
Bado hainiingii kichwani kitendo cha comrade werema kuandika barua ICC kuhusu hao uhuruto...
kwa maslahi ya nani?
 
Wakenya wana nini kwani??? hawatufikii kwa lolote wanaitolea mimacho nchi yetu na hawatupati ng'ooooo! Kaeni na malift yenu tutabaki watanzania kwa raha zetu. Eti EAU = badilisheni jiographia ya dunia tuwe WAU .......
 
Kwa hiyo wakenya walikaa wakaamua kutunga hiyo ?
Acheni uchochezi wa kijinga.
Huko ni kujenga chuki.
Wakenya ni ndugu zetu !
 
Nahisi ni wakati sasa wa kuelekeza oparesheni sangara kwa wahamiaji haramu wa Kenya nchini Tanzania.
 
Wakenya wana nini kwani??? hawatufikii kwa lolote wanaitolea mimacho nchi yetu na hawatupati ng'ooooo! Kaeni na malift yenu tutabaki watanzania kwa raha zetu. Eti EAU = badilisheni jiographia ya dunia tuwe WAU .......

...naomba eeeh nikuwowe,, maana unaakirii sannaa...
 
Yaani wakenya wameamu kutuona mazuzu kabisa, ona jinsi wanavyopost kwenye mitandao yao.

Nyambaf zao!!

....waaaoooooh ! pia ni ishara ya kuwa watanzania ni wastaarabu wanajali mipaka na hawavamii ofisi ya mtu, choo, jiko n.k bila kutoa taarifa. big up all tanzanians kwa utamaduni booora kabisa....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…