MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 20,709
- 42,794
Hii habari ndugu inatisha na kusikitisha.Sijui kwanini asilimia kubwa ya watu waliookoka na wale wa swala tano matendo yao ni tofauti na wanavyotuaminisha...angalia hata mtaani kwenu matendo yao yalivyo...huyo Askofu amewakilisha hao.
Haya mambo yanaonekana kumea sana hivi karibuni, inabidi tubadilike ukinunua/ukipewa kitu na ndugu yako basi hakikisha munaandikishana ili badae watoto/mjane asijesema umedhulumu mali ya marehemu. wapo watu walikuwa wakiishi na kaka zao/dada zao nduguye akifariki watoto hawataki kabisa kumwona huyu ndugu yao. Wapo waliofurumushwa kwenye nyumba na watoto wa ndugu zao tena unaambiwa "lidada lako limekufa hebu toka".Habari JF,
Leo katika gazeti la Raia mwema kuna hii habari inayomhusu Askofu mstaafu Erasto Kweka wa KKKT anaegombea eneo la ekari 12 na binti wa ndugu yake bi. Mary Kweka. Kwa mijibu wa habari ni kuwa baba mzazi wa binti wakati wa uhai wake alimpa askofu shamba awe akilishia mifugo yake ila Askofu akajimilikisha mojakwamoja na mara baada ya kifo cha Baba Mary huyo askofu akaja na madai kuwa alishauziwa. Askofu alipoulizwa na mwandishi kuhusu hizo tuhuma alijibu sio kweli na huyo Mary sio mtu wa ukoo wao.
Binafsi nimepatwa na wasiwasi mkubwa kwenye uadilifu wa Askofu huyu aliyejipatia heshima kubwa. Ninaamini JF ina watu wengi wanaoweza kutuweka sawa katika hili.
Karibuni.
kwa mtizamo wako unadhani askofu kweka anaweza fanya mambo ya kihuni hivyo? Hii tabia ya kuona ukimzaa mtoto basi automatically anakuwa mrithi ifike sehemu tuachane nayo mali yako mwenyewe inaweza kukutoa uhai.Sijui kwanini asilimia kubwa ya watu waliookoka na wale wa swala tano matendo yao ni tofauti na wanavyotuaminisha...angalia hata mtaani kwenu matendo yao yalivyo...huyo Askofu amewakilisha hao.
Habari JF,
Leo katika gazeti la Raia mwema kuna hii habari inayomhusu Askofu mstaafu Erasto Kweka wa KKKT anaegombea eneo la ekari 12 na binti wa ndugu yake bi. Mary Kweka. Kwa mijibu wa habari ni kuwa baba mzazi wa binti wakati wa uhai wake alimpa askofu shamba awe akilishia mifugo yake ila Askofu akajimilikisha mojakwamoja na mara baada ya kifo cha Baba Mary huyo askofu akaja na madai kuwa alishauziwa. Askofu alipoulizwa na mwandishi kuhusu hizo tuhuma alijibu sio kweli na huyo Mary sio mtu wa ukoo wao.
Binafsi nimepatwa na wasiwasi mkubwa kwenye uadilifu wa Askofu huyu aliyejipatia heshima kubwa. Ninaamini JF ina watu wengi wanaoweza kutuweka sawa katika hili.
Karibuni.
Well saidkawaida ya wamachame kugombea mali
Akili yako haina akili. Kwani huyo askofu yeye sio binadamu?? Na kuhusu kirithi mali nani anastahili hirithi kati ta kaka mtu na mtoto??
usiangalie upande mmoja tu, wapo watumishi wa umma walioficha mali kwa majina ya wadogo zao au shangazi zao, haujawahi ona mtu anastaafu kazi ghafla biashara za ndugu zake zinaanza kuyumba? yapo makampuni baada ya kigogo wa serikali kustaafu maroli yote yanabadilishwa majina. Wapo mapadre wanamajumba na magari yaliyoandikwa kwa majina ya ndugu zao.Mkuu hawa ndio wale "baba wadogo" wasiokuwa na haya kisa tu mali za kaka!! Kwenye mali undugu wa kuungaunga ndio unaoleta watoto yatima wa mitaani kisa tu "mali za kaka!"
Hawajui hata uchungu wa kutafuta kwa jasho na damu huku unalea mke, watoto, wazazi wako (pengine na wakwe) na ndugu na jamaa ili mradi uwezo umejaaliwa!
**Nawachukia!
Usijekuta Askofu alinunua shamba akaandika jina la mdogo wake sasa watoto wanataka kumdhurumu mzee.Habari JF,
Leo katika gazeti la Raia mwema kuna hii habari inayomhusu Askofu mstaafu Erasto Kweka wa KKKT anaegombea eneo la ekari 12 na binti wa ndugu yake bi. Mary Kweka. Kwa mijibu wa habari ni kuwa baba mzazi wa binti wakati wa uhai wake alimpa askofu shamba awe akilishia mifugo yake ila Askofu akajimilikisha mojakwamoja na mara baada ya kifo cha Baba Mary huyo askofu akaja na madai kuwa alishauziwa. Askofu alipoulizwa na mwandishi kuhusu hizo tuhuma alijibu sio kweli na huyo Mary sio mtu wa ukoo wao.
Binafsi nimepatwa na wasiwasi mkubwa kwenye uadilifu wa Askofu huyu aliyejipatia heshima kubwa. Ninaamini JF ina watu wengi wanaoweza kutuweka sawa katika hili.
Karibuni.
wanataka kumdhalilisha mzee awaachie shambaNi mambo ya kifamilia je we unausika Ama ndio kujipendekeza
Kama Askofu alitumia hizi mbinu za kifisadi naona anyang'anywe tu hilo shamba na Mary. Ni askofu mhuni pekee anaeweza kuudanganya uma. Jiulize alipokuwa akiulizwa kuhusu mali zake si alikuwa akidanganya tu? Kuna maana gani Askofu kuwa mwongo? Anyang'anywe iwe fundisho.Tuache hasira, kwa mila za kwetu mwanamke aliyeolewa anakuwa familia ya mumewe na hata mirathi yake inahesabika kwao mumewe lakini kwa sasa mwanamke anaacha familia yake kuja kugombea mali. Hebu tuambie mchango wa huyo binti katika kutafuta mali za baba yake, je anajua ushirika wa baba yake na askofu kweka? wapo watu walioficha mali kwa majina ya wadogo zao, dada zao, mzee akifa watoto wanapiga kimya.
Huo Ni mfumo dume uliojengeka Tu,kwani wanaume wangapi wanaachiwa Mali na wanaishia kwunywea viroba na piua?na watoto wa kike wangapi wanasimamia Mali za urithi,labda babaake aliona ndio mwenye akili kuliko wengine thats y akamuachia cha msingi Mary apewe chake,Tuache hasira, kwa mila za kwetu mwanamke aliyeolewa anakuwa familia ya mumewe na hata mirathi yake inahesabika kwao mumewe lakini kwa sasa mwanamke anaacha familia yake kuja kugombea mali. Hebu tuambie mchango wa huyo binti katika kutafuta mali za baba yake, je anajua ushirika wa baba yake na askofu kweka? wapo watu walioficha mali kwa majina ya wadogo zao, dada zao, mzee akifa watoto wanapiga kimya.