Mmh katika umri huu nimeshafunga hesabu ila kuna pahala Kuna malalamiko ndio maana nikaamua kuweka post kamiliKuna yanayokusibu nyumbani mkuu?
Eeeh mwathuu Mshana ..... imi kumanya chathuu ni mwathuu...? Haarikaa Kasinde n mwathuu haaiiyee wa wa hiii .....na group lao waniita mwathuu....
Hethina mburiii imi ni mnyamwezi puree.
Hahaaaa mimba raha bwana yani ile hali ya kuhitaji kitu na mpaka ukipate ndiyo uridhike.......Mmh katika umri huu nimeshafunga hesabu ila kuna pahala Kuna malalamiko ndio maana nikaamua kuweka post kamili
cc: Evelyn Salt sister
Ah mie embe hapana nilikuwa napenda ubuyu..... Kipindi hicho ofisi iko karibu na imalaseko supermarket.....asubuh napitia ubuyu wangu....unaliwa mpaka nikitoka. Napitia pweza na supu yake....nikifika nyumbani barafu natafuna mpaka meno yanakufa ganzi......ila sasa haya yote siwezi kuyafanya....mimba kiboko.....
.,.'/
Holla amigo. ...
Holana que pasa...
Kwani Kasie wee ni mrefu kwenda down?Usicheke mwathuu wanchosha hawa kila saa Kasinde n mwathuu n mwathuu haaaaa na wanibatize niitwe Nakadori ama Naki ama Neteghenjwa.....
Wanchosha kwerikweri. .... na wathomee haiyee Kasie si mwathuu ni mbeba mizigo aka reli ya kati. ..
Jqjsbshs jdjsjsbsb .....
are you ready?
Shall I go there...?
Enzi zangu nlikua napenda uji tu na wali mkavu teh, nlichukia sana kuku na sodaMmh katika umri huu nimeshafunga hesabu ila kuna pahala Kuna malalamiko ndio maana nikaamua kuweka post kamili
cc: Evelyn Salt sister
Kwani Kasie wee ni mrefu kwenda down?
Ojuelegba ojuelegba