Kasheshe urambo

Mwiniko anafahamika sana Urambo kwa mambo yake yasioenda shule na yaajabu kweli!wana JF mnaitaji CV yake?
 
I think JF should install anticrap kwenye forum ili kuchuja some of these nonsense

Wait!
In front of other four-legged animals, man is full of nonsense for using two limbs instead of the orthodox mammals' legs number, four.


It is just perception.
 
Sina ushabiki tena na siasa za bongo, hazijakomaa kabisa

nnoli anasema katika chapisho lake mwanadamu ni mwanasiasa kwa asili na wewe ni matokeo ya hiyo siasa hivyo basi jitambue kabla ya kufikia uamuzi wa juu juu tambua ukweli mzeia!
 
Sitta asisingiziwe kwa lolote, kwani angewalazimisha watu kuchagua mtu wasiyemtaka? Hizo zitakuwa siasa nyepesi na za maji taka. Msiwe na hofu wazee, mabadiliko yanakuja kwa kishindo watake wasitake mzunguko wa CCm umeshakamilika ni lazima waachie nchi. Tusomeni nyakati.
 
Ccm hawana jipya kwa tz,baada ya kanali kuapishwa tayari sementi imepanda kwa asilimia 75%na mabati kwa asilimia 50% mfumko wa bei kwa asilimia 52% na bado mtauona moto nani ya miaka mitano ya kanali mchakachuaji.
 
Subiri 2015, sijui hapo atalaumiwa nani? Utabiri ulishafikiwa kuwa SSM inafiwa mikononi mwa mkwere, period!!!

Kama atakuwepo...........
 
sita nae ni mchafu pia ndiyo maana hawezi kuhama CCM hata hivyo atapozwa na uwaziri....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…