KASHESHE HAPO MIKOJO INAWATOKA WATALII

KASHESHE HAPO MIKOJO INAWATOKA WATALII

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
KASHESHE HAPO MIKOJO INAWATOKA WATALII.jpg
 
Simba huwa hawapendi, kelele.. Kelel zikitokea, reactions zina tofautiana. Either wasepe kuepuka kero, au waghafirike zaidi..

Got real experience. Mzee baba,

Ukiwapigia kelele za gar kwa kuwasha huwa wanasepa
 
Ni nyati tembo na kifaru wanauwezo wa kupambana na gar hata mlio wake wasiutake kabisa
Simba akiye katika taharuki, hasira anaweza fanya lolote

Maana kama bunduki tu, unaweza mpiga moja, ukapiga sehem ambayo sio delicate, anakuja hadi miguuni huyo
 
Simba akiye katika taharuki, hasira anaweza fanya lolote

Maana kama bunduki tu, unaweza mpiga moja, ukapiga sehem ambayo sio delicate, anakuja hadi miguuni huyo

Bunduki mnakuwa face to face mnapambana hata chita anakuzingua gar wakikaa chini simba kisha ukawasha wanasepa
 
Simba huwa hawapendi, kelele.. Kelel zikitokea, reactions zina tofautiana. Either wasepe kuepuka kero, au waghafirike zaidi..

Got real experience. Mzee baba,
Kusepa ndio option ya kwanza kujiokoa maisha yao
 
Back
Top Bottom