😂😂😂Mpwa Dokta haonekani kabisa nilikwambia anakuogopaMpwa.
Sijamsikia daktari karibia mwezi. Umemficha wapi au keshabwaga manyanga?
Nimesaka hata comments zake nimlime disilaiki lakini sijaziona.
Aliingia kichwa kichwa alikuwa anafikiri kumiliki pisi kali kama wewe ni lelemama? Aangalie tu asije akaangukiwa na makontena kule site aje ashindwe hata kutibu wagonjwa wake.....![]()
Hata mi mwny sipendi kabisa,Pamoja na kwamba ndio tafsiri yake lakini anakupenda coz mmepitia mengi nawe umekuwa ukimsupport katika mambo yake( Ushahidi ni wewe mwenyewe umekuwa ukitueleza kuhusu Mama J). Kama nawe unampenda katika hali hiyo fikiria tena mkuu coz imetokea nae mbali, habari za kubadirisha badirisha wanawake si nzuri.
Raw nature of women.Akasema "sawa Ila naomba tuchangie, nipambane nilipie 450, nawe unilipie 450. Mie Hali yangu ngumu Sana sahv, mshahara mdogo nilikopea na biashara dukan ngumu sana, Duka linashinda Bila kuuza kitu"
Nikamwambia
"hiyo haipo wee lipia mwnyw Kodi yote ya mwenye nyumba wako Kwanza, ukishalipa utanitafuta Tena ili tuendeleze haya mahusiano yetu"
Kiunyonge Sana akasema "sawa bhana,ntafanye Sasa Kama ndo ushaamua hivyo. Ila jua unanipa wakati mgumu Sana mpenz wangu."
Nikamwambia, "utajua mwnyw bhana" nikamkatia simu.
Sasa wakuu,
HAPA NAMSUBIRI AJILIPE KODI YAKE YA NYUMBA KISHA NDO TUENDELEZE MAHUSIANO YETU.
IKISHINDIKANA KUJILIPIA NDO BASI TENA,NTAHESABU TUSHAACHANA.
Mahusiano ya kudangiana kwa Kisingizio Cha NAKUPENDA SANA yameshapitwa na wakati.
Wanawake sometimes ebu muone haya Basi, Huyu mamaJ anajichetua sn mpk anakera Sana yaani
Nawasilisha wakuu![]()
Ndio maana mama j anakusumbua 😅😅Ha ha ha.....uko nmewaachia nyie,
Sipawezi, simple&young ndo mpango![]()
Hawana matata kabisa. Zile pigo zako za kutegesh cm dirishani kwa mama j ili urekodi mazungumzo yake,huku hazipo kabisa.Kwamba mishangazi haisumbui?![]()