Atalipa na wewe utamrefund fully simply unajikopesha mwenyeweAjilipe Kodi Kwanza
Exactly 😎Kwamba natoa mfuko wa kulia,naweka mfuko wa kushoto au vipi
Hapo utakuwa nami upande ulio mmoja mkuuTrust me, silipi Kodi mkuu
Hao ndo kina I don't want peace, I want problems always
Haha yuko nawe kimaslahi lakini anakupenda kimaslahi hivyo hivyo.😆Wakuu,
Mwezi uliopita tulikuwa na ugomvi mkubwa sana nikadhamiria kabisa kuachana naye moja kwa moja.
Baada ya kuomba msamaha sana, turudiane ikashindikana. Akameza vidonge lengo kujiua nisipokubali kumsamehe.
Nikamwambia, "Wewe jiue tu usinibabaishe, hutokuwa wa kwanza kujiua."
Muda mfupi nnapokea namba ngeni anajitambulisha ni Nesi na kunambia mamaj ameletwa zahanati flani. Yupo hoi kwa kunywa sumu. Nifike haraka tumnusuru. Nikasema, "Sawa, nakuja." Nikafika hospitali haraka nikakuta amelazwa na katundikwa dripu.
Alilala pale usiku mmoja. Kesho yake naenda kumchukua aliruhusiwa. Daktari ananambia nibebane dawa zake atameze nyumbani. Tumefika kwake, nafungua na kukuta amefungashiwa mseto na panadol tu. Nikabaki na mshangao.
Pamoja na kwamba ndio tafsiri yake lakini anakupenda coz mmepitia mengi nawe umekuwa ukimsupport katika mambo yake( Ushahidi ni wewe mwenyewe umekuwa ukitueleza kuhusu Mama J). Kama nawe unampenda katika hali hiyo fikiria tena mkuu coz imetokea nae mbali, habari za kubadirisha badirisha wanawake si nzuri.Ndo TAFSIRI yake hiyo mkuu
Ni kazi sana kumwelewa mwanamke wengi hawajui nini hasa wanataka kwa mwanaumeHa ha ha......umefurahh nn mkuu,
Huyu mwanamke pasua KICHWA sana
Mpwa.Nyie tena