Jacobus
JF-Expert Member
- Mar 29, 2011
- 4,708
- 1,733
Rais wa kwanza wa Zanzibar na mmoja wa waasisi wa Tanzania marehemu Abeid Aman Karume (Mungu amrehemu) alipenda michezo na katika kudhihirisha hilo yasemekana ndio muwezeshaji wa jengo la klabu ya Yanga ya Dar.
Sasa naomba tuweke kumbukumbu yake vizuri kama aliishia hapo tu au hata klabu ya Simba alichangia ujenzi wa jengo lake.
Sasa naomba tuweke kumbukumbu yake vizuri kama aliishia hapo tu au hata klabu ya Simba alichangia ujenzi wa jengo lake.