Hujitambui nyie ndiye mlikuwa mnapewa hizo silaha mnaenda kuuwa watu ngoja tuwanyoshe mpaka muache ugaidi wenu.
Na hii ni tishio kwa wengine wanaoota kujiunga na upinzani ......... kuna hatari ya rais mstaafu Karume kukigawa chama (ccm) kadiri 2015 inavyokaribia
Himidi ni jambazi polisi wachukue hatua za kisheria hakuna kumchekea tumechoka kufuga majambazi.
Nani anakaza dada wa mwenzie?
Nashangaa watu wanaomtetea na kuingiza siasa.Padri kauwawa watu wametiwa ulemavu tukataka jeshi la polisi lifanye kazi yake.Kazi imefanyika watu wanatetea wahalifu
Hakuna kesi kivipi? Kwani znz hawakuiona tangu zamani hiyo sheria ya kuzuia mtu kuwa na pistol ndio wanastuka leo? Himidi hakuwa mwakilishi katika baraza lililotunga sheria hiyo? Tena alikuwa waziri kwa nini asishawishi mswada wa marekebisho ili ifanyiwe marekebisho. Znz mnataka uhuru wa kujiamulia mambo yenu, mnaamua, , yakiharibika mnanyooshea kidole muungano. Hebu siku mojamoja kuweni watu wazima bana. TumewachokaPolice wanajidhalilisha tu ... hakuna kesi hapo! ... Malima alijifanya baby akanyonya sana chuchu, mwisho akapiga Usingizi wa kutosha pale Moro! Alipoamka akakuta Tanzanite, fedha, Bastola na SMG vimekombwa vyote!!! Police walimsaidia kurejesha Bastola na SMG! ... Swali la Msingi ni Je? Naibu waziri wa bara anaruhusiwa kumiliki silaha za kivita? Hii Double Standard Approach kwenye nchi moja ni SAWA? ... Acheni fitna za kisiasa! Kosa la Mansour ni kujiunga CUF...
Siyo lugha nzuri uliyotumia lakini nitakujibu.
Mansoor ameoa mdogo wake Karume jina lake Asha.
Karume ameoa dada yake Mansoor jina lake Shadya.
Yaani wamebadilishana madada na ndiyo maana alikuwa anaitwa double shemegi.
Police wanajidhalilisha tu ... hakuna kesi hapo! ... Malima alijifanya baby akanyonya sana chuchu, mwisho akapiga Usingizi wa kutosha pale Moro! Alipoamka akakuta Tanzanite, fedha, Bastola na SMG vimekombwa vyote!!! Police walimsaidia kurejesha Bastola na SMG! ... Swali la Msingi ni Je? Naibu waziri wa bara anaruhusiwa kumiliki silaha za kivita? Hii Double Standard Approach kwenye nchi moja ni SAWA? ... Acheni fitna za kisiasa! Kosa la Mansour ni kujiunga CUF...
Tujiulize Uamsho walipata wapi silaha?
Mkuu kinyago kilichofunika uso wa Uamsho ndo kwanza kinaanza kung'olewa.
mkuu, umesema ukweli kabisa kuwa kosa lake ni kujiunga cuf sasa hawa wapumbavu tusiwaruhusu sera yao hii itutishe kuwa ukuhamia vyama vya upinzani basi ccm watakufungulia kesi..
Uhalifu huo wa Mansoor ni baada ya kufukuzwa CCM? Unajua baba yake alikuwa Brigedia wa jeshi?
CCM wametarget uchaguzi ujao hayo ni maandalizi ya kumkosesha Mansour haki ya kugombea uwakilishi/ubunge katika uchaguzi ujao nisuala la muda tu.
Sijui Karume anatumia hekima gani ya kisiasa kuamua kumtetea shemejiye, ambaye ni hasimu wa CCM.Kiongozi kama Karume ni hatari sana.Mdogo wake Balozi Ali Karume alishawaambia kuwa huyu hafai lakini Mkapa akambeba na mbeleko ya chuma sasa anawatokea puani
Uhalifu huo wa Mansoor ni baada ya kufukuzwa CCM? Unajua baba yake alikuwa Brigedia wa jeshi?