Karspersky antivirus kwenye window 8

Tangopori

JF-Expert Member
May 11, 2012
1,629
1,282
Wadau naomba mnisaidieni nimeweka windows 8 ila nikitaka kurun karspersky yangu niliyokuwa natumia kwenye windows 7 inakataa na kunipa message inayosema kuwa the program has some compatibility issues so inakataa kuiinstall
Nimeshindwa kuelewa where is the problem naombeni mnisaidie maana hyo antivirus nimeitumia kama miezi miwili tu.
 
vile vile win 8 inakuja na strong windows defender ambayo inafanya kazi more like microsoft security essentials.unawezakuta ukawa huja haja ya kutumia hizo external antivirus products.
 
u need to download netframe work 3.5 online,hii itakusaidia kuweza kufanya installation ya program zote za version za nyuma kwenye windows 8 yako-na kuhusu kaspersky download latest version ya 2013 itaingia vizuri-ndo ninatumia kwenye windows 8 pro buld 9200 since september.any problem PM i can offer some help
 
No, it can't come close to doing it all.
Windows Defender is not an
anti-virus program, it's an anti-spyware
program, and not even the
best one of those.
You definitely should install anti-virus
software. Stay away from
Norton and McAfee, the two most
popular anti-virus programs, but among
the worst. I recommend eSet NOD32, if
you are willing to pay for it.
If you want a free anti-virus, I
recommend one of the following three:
Avira
Avast
Microsoft Security Essentials
You also need better anti-spyware
software. I recommend that you
download and install (both freeware)
MalwareBytes AntiMalware and
SuperAntiSpyware
 
u need to download netframe work 3.5 online,hii itakusaidia kuweza kufanya installation ya program zote za version za nyuma kwenye windows 8 yako-na kuhusu kaspersky download latest version ya 2013 itaingia vizuri-ndo ninatumia kwenye windows 8 pro buld 9200 since september.any problem PM i can offer some help

.net framework itasolve hilo tatizo kama hizo software zimetengenezwa kwa kutumia ms visual studio tu. KAV 2013 ndo solution

Wadau naomba mnisaidieni nimeweka windows 8 ila nikitaka kurun karspersky yangu niliyokuwa natumia kwenye windows 7 inakataa na kunipa message inayosema kuwa the program has some compatibility issues so inakataa kuiinstall
Nimeshindwa kuelewa where is the problem naombeni mnisaidie maana hyo antivirus nimeitumia kama miezi miwili tu.
Tafuta kaspersky 2013
 
microsoft security essentials kwenye win7,its the best of all,kwa windows,simple,light,does not consume much processor resources,easy to upgrade,antivirus nyingi zinafanya exaggeration,kila kitu inachokiona ni virus. It is obvious kwamba win defender ni antispyware,ila waliokuwa wakijaribu kufanya installation ya essentials kwenye win8 walipata hii message'
'No need for security essential,there is an inbuilt windows defender that offer same level of security as security essential,just update it''
 
Mkuu hata mimi nilipofanya installation ya windows 8 nilijaribu kuinstall anti virus lakini nikapata ujumbe kama huu mpaka leo sijahangaika na anti virus tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom