Mkuu hili ni janga. Nilipochukua barua wiki iliyopita nilitahayaruki. Je hawajui wengi wetu ni watu wa kawaida na tunajikamua tu kuhakikisha tunajitafutia elimu? Bora hata ingekuwa ni HESLB wanatudhamini tuje tuwalipe kidogo kidogo.
Hakuna sababu ya chuo cha umma kuwa na ada ndefu hivi. Kodi yangu ya kila mwezi si ndiyo inakiendesha?