C Calist Senior Member Joined Dec 17, 2010 Posts 130 Reaction score 7 Jan 14, 2011 #1 Najiuliza sipati majibu, hivi karne ya 21 bado wa TZ tunahangaika na vibatari/ mishumaa tena mjini ? Ngereja na Mh. Kikwete hivi mnajisikiaje happ mlipo ? Kuachia ngazi mwasubiri nini ?
Najiuliza sipati majibu, hivi karne ya 21 bado wa TZ tunahangaika na vibatari/ mishumaa tena mjini ? Ngereja na Mh. Kikwete hivi mnajisikiaje happ mlipo ? Kuachia ngazi mwasubiri nini ?