The redemeer
JF-Expert Member
- Jan 28, 2025
- 4,780
- 8,155
NUMEROLOGY - ELIMU YA SIRI YA NAMBA.
NAMBA ZA DENI LA KARMA.
DECODING THE MYSTERY OF KARMIC DEBT NUMBERS:
KUFUNGUA NA KUSIMBUA SIRI KUHUSIANA NA NAMBA ZA MADENI YA KARMA:
JE, KILA MTU ANA NAMBA HIZI ZA KARMA?
KARMA NI NINI?
👉Karma ni sheria asilia ya ulimwengu na katika sheria hiyo ya karma kuna sheria tena kumi ndani yake za karma tofauti na universal laws. Karma inasema "Whats goes around come around" kwamba Unacho kitoa ndicho kitakacho kurudia, unacho panda ndicho utakacho vuna.
Karma inaamini kwamba Hapa Duniani hakuna atakaye kuja kukuhukumu juu ya uovu wako. Unacho kipanda unacho fanya lazima kikurudie...hakuna damu ya nani wala nani, ukifa na ukawa bado hujalipa kwa uliyo yafanya...maana ukiiba lazima uibiwe au upoteze zaidi..ndio maana majambazi hawafanikiw wakipiga ela zinawapotea na wanabaki hawana la maana sio mkosi ni asili.
UKIUA utauawa ukiumiza mtu moyo akaumia, ukimtelekeza utalipa lazima ulipe hamna msamaha wakati huu au wakati ujao. Au wakati utakapo zaliwa tena mara ya pili (next reincarnation) huondoki hapa kama hujalipa madeni.
Nilikuwa naelezea karma kwa juu juu kwa asiye ielewa lakini sisi tupo kwenye ELIMU YA NAMBA yaani NUMEROLOGY.
.Sisi wataalamu wa namba kuna namba ambazo kama tukipiga mahesabu ikipatikana mwishoni namba inawakilisha Karma au malipo unayo takiwa kulipa labda mzee wako aliumiza watu na hakulipa maden hayo sharti na yeye aumizwe ... hiyo LAANA karma ya malipo inafatilia damu yake mpaka alipe. Unaweza ukawa unapatwa na mabalaaa, hufanikiwi shida mateso ...umetambika sana lakini wapi... basi ujue ni Karma laana madeni ya wazee wako au mshenzi mmoja aliye kufa alifanya sasa yanawaandama. Sasa mamba hizo zinaweza kutuambia kitu ikiwa umezaliwa na LAANA (KARMA) au la na nini cha kufanya kujitoa kwenye karma au laana ya mtu mwingine aliye kufa ambaye damu yako.
HIII NI ELIMU YA NAMBA , NA NI ELIMU YA SIRI YA NAMBA. HAIPO KWENYE SYLLABUS.
👉Umewahi kujiuliza juu ya njia za kushangaza ambapo karma imekuwa ikifanya kazi zake kichawi katika maisha yetu?
👉Vizuri, najua kabisa upo hapa kwa James lordy kashirina unatafuta funguo fulani muhimu ili kufungua maisha yako. Katika nakala hizi za elimu ya namba tunazama zaidi katika kutazama Ulimwengu unao vutia wa NAMBA ZA DENI LA KARMA. Au laana kwa uelewa wa haraka haraka.
👉Katika kuzaliwa kwako huku kwa sasa (This reincarnation) katika kipindi hichi ulicho zaliwa utavuna matokeo kutokana na matendo yako uliyo yafanya katika uzazi ulio pita (previous reincarnation).
👉Tutaweza kugundua matendo yetu na vitendo vyetu vya zamani katika uzazi ulio pita hapo awali (previous reincarnation) kwa msaada wa Namba za Deni la Karma katika ELIMU YA NAMBA.
Jiunge nasi ufuatane nasi tunapokwenda kuchunguza muingiliano tata kati ya Karma na Elimu ya Namba. Ndipo tutakapo pata jibu kwamba
Je, kila mtu ana Namba ya Deni la Karma?
"Hatimaye Karma itakuja mbele ya kila mtu. Huwezi kuepuka kuwahadaa watu katika maisha yako yote, Karma huwezi kuiepuka. Unacho kitenda ndicho utakacho kipata, kinachotokea kote kitatokea. Haijalishi wewe ni nani. Hivyo ndivyo inavyo fanya kazi. Haijalishi ni sasahivi au baadaye, unacho takiwa kujua ni kwamba Ulimwengu utakulipa kisasi unacho stahili"
~ Maneno ya Jesca Brody
👉Nakala hii itaangazia juu ya watu walio athiriwa (maisha yao) kutokana na namba ya deni la Karma Namba hizo zimewafundisha somo la Karma katika Maisha yao.
👉Sasa unaweza kujiuliza, namba hizi za deni la karma ni nini hasa?
Katika nakala hii nitajadili kila namba moja baada ya nyingine. Lakini kabla ya kuanza, hebu kwanza tuangalie na tuelewe kiini cha deni la Karma na umuhimu wake
DENI LA KARMA NI NINI?.
👉Deni la Karma ni dhana inayo tokana na mapokeo mbalimbali ya kiroho na ya kifalsafa hasa katika Uhindu, Ubudha, na imani za Enzi mpya yaani New Age.
👉Inaelezwa kwamba kila hatua tunayo chukua kila matendo tunayofanya, iwe hasi au chanya (mazuri au mabaya) huweka chapa ya alama iliyo katika mfumo wa nishati katika nafsi zetu na katika fahamu zetu. Alama hizi, au "Karma" , huathiri uzoefu wetu wa siku zijazo pamoja na hali yetu ya siku zijazo.
👉Pale tunaposema Mtyu ana Deni la karma inamaanisha kwamba wamekusanya nishati hasi kutokana na vitendo vyao vya zamani au tabia ambazo Inahitaji kusawazishwa kupitia matendo na uzoefu wa siku zijazo.
Hali hiyo ya Ulimwengu kutaka kuleta usawa , mchakato huo husababisha watu kupitia changamoto au ugumu wa maisha unao endana na vitendo vyake vibaya vya zamani alivyo watendea watu, lakini pia hali hiyo ya karma kuleta matatizo kwa wenye karma sio kwa lengo baya maana hutoa fursa ya kujifunza na kukua kutokana na hayo.
👉Kwa mfano, Chukulia mtu fulan yoyote ambaye katika maisha yake ya zamani alikuwa ni mlafi, mwenye tamaa na Mbinafsi, na kupelekea kusababisha madhara kwa wengine kwa faida zake binafsi.
Kwa mujibu wa dhana ya Deni la Karma, mtu huyu mtu huyu anakuwa amekusanya nishati hasi kwa wingi sana kama matokeo ya matendo yake . Katika maisha ya sasa watu kama hao (ambao maisha yao ya zaman waliishi hivyo kwa tabia hizo) wanaweza kujikuta wakikabiliwa na hali kama hizo ambapo wanapata hasara, usaliti, au kukosa kuridhika.
Changamoto kama hizo zitokanazo na Karma hutoa fursa kwa mtu binafsi kujifunza na kukua, hatimaye kusawazisha deni lao la karma kupitia vitendo na tabia nzuri.
Hatimaye dhana ya deni la karma inatukumbusha kwamba Matendo yetu yana matokeo, si tu katika maisha haya bali hata katika uhalisia mpana wa uwepo.
Deni la karma pamoja na sheria ya karma inatuhamasisha kuwajibika kutokana na maamuzi yetu na uchaguzi wetu, kujifunza kupitia uziefu wetu, na kujitahidi kuweka uwiano na usawa katika maisha yetu.
DALILI ZA KUONYESHA KWAMBA UNA DELI LA KARMA KATIKA MAISHA YAKO...
ITAENDELEA. @everyone