SYLLOGIST!
JF-Expert Member
- Dec 28, 2007
- 7,381
- 6,997
Karl Marx ndo aliharibu zaidHao walitajwa katika ?MADA hii ndio waliochangia Kuisambaratisha Afrika.
Sisi waafrika tunahitaji tujadili wanafalsafa wa Kiafrika na michango yao chanya katika
Ujamaa ni kirusi kwa sabab side effects zake ni nyingi kubwa na mbaya ni kutengeneza madikteta,siupendi ujamaa na staki kuwa mjamaa,Ni mfumo wa kimasikini kuanzia kichwani Hadi kipatoNi mfumo wa kufukarisha watu na most of the time unazaa udikteta na occultism
Nyerere angeicron falsafa yake ningemwelewa Sana,angesema tu siasa za kujitegemea na siyo ujamaa na kujitegemea,tungeweza kuchagua mode of production yyt tukaiacha ujamaa na bado tukajitegemea,,,,,ujamaa ukikukolea kichwani unaweza ukahudhuria msiba na kuanza kulia kwa uchungu kuliko wafiwa,unajua Ni uwendawazimu kugawana na mtu kitu chako ambacho hata wewe hakikutoshelezi,huo ndo ujinga wa ujamaa,siupendi huu mfumo wa shetaniRuksa pia kutaja na kumuelezea yoyote sio lazima Marx na Smith
Nimekuelewa Mkuu tupo pamoja.Ruksa pia kutaja na kumuelezea yoyote sio lazima Marx na Smith
Ndugu Buffet, naomba nianze kwa kukusii upunguze dhihaka na kejeli. Sio kuhemeka tu ndiko kutafikisha jumbe lako.Nyerere angeicron falsafa yake ningemwelewa Sana,angesema tu siasa za kujitegemea na siyo ujamaa na kujitegemea,tungeweza kuchagua mode of production yyt tukaiacha ujamaa na bado tukajitegemea,,,,,ujamaa ukikukolea kichwani unaweza ukahudhuria msiba na kuanza kulia kwa uchungu kuliko wafiwa,unajua Ni uwendawazimu kugawana na mtu kitu chako ambacho hata wewe hakikutoshelezi,huo ndo ujinga wa ujamaa,siupendi huu mfumo wa shetani
Ruksa pia kutaja na kumuelezea yoyote sio lazima Marx na Smith
Communalism and self reliance ndo ujamaa na kujitegemea,nimeandika hicho kingereza na tafsiri yake,haya tuendelee sasaNdugu Buffet, naomba nianze kwa kukusii upunguze dhihaka na kejeli. Sio kuhemeka tu ndiko kutafikisha jumbe lako.
Naomba ni kuulize na naomba uandike Ujamaa na Kujitegemea kwa King-eleza bila ya kutoa tafsiri yako ambayo naona kama inapotosha au ni ile uliyolishwa ambayo imepotoshwa na waliopita.
....ndio tuweze kuendele
Mkuu, naona tuna medani nyingi hapa JF.Karl Marx ndo aliharibu zaid
Hiyo ni tafsiri. Nilichoomba ni Kiingereza chaCommunalism and self reliance
ndo ujamaa na kujitegemea,nimeandika hicho kingereza na tafsiri yake,haya tuendelee sasa
Communism na dictatorship zinaenda sambamba huwez tenganishaThe biggest mistake kwny mifumo ya kijamaa ni kukandamiza haki za binadamu,pia communism inahubiri equality ambayo haipo,ktk mfumo wa kijamaa kiongoz aweza fikiria na kuamua lolote kwa niaba ya raia wengine wote,swali ni je,vp akikosea au kupotoka????communists are the devil's workshop
Watawala wanaoamin ktk ujamaa hutaka watu wote wawe wafuasi wao,usipokubaliana nao hata pale wanapokosea utanyamazishwa by any means at any cost,hata kwa kukupoteza,huu mfumo Ni wa hovyo mnoCommunism na dictatorship zinaenda sambamba huwez tenganisha
Siupendi Ujamaa na aina zake zote,kwani mara nyingi huzaa udikteta na umungu mtu,unafiki na kujikomba,Mkuu, naona tuna medani nyingi hapa JF.
Suala la kitaaluma kama hili la falsafa huwa halina majibu mepesi mepesi.
Kudai karl marx ndie aliyeharibu zaidi halina mshiko....na Usikatae....ila Najua kwa hayo umeelemea upande gani, sio mbaya wala sio mapungufu ila inaonyesha hutakuwa na Usawa wa kujadili falsafa, kwa maoni yangu, kama inavyotakikana....ya kukubali au kutokubaliana kwa kukubaliana na kutokukubalina kwa kukubali kutokubaliana na kukubaliana.
Karl Marx Aliharibu nini zaidi?, manake kwa madai hayo ni kwamba hata hao wengine waliharibu pia, au kwa lugha nyingine unakubalina mtazamo wangu wa kuwa "walichangia kisambaratisha" Afrika.
Tiendeleee....
Mfano wa dikteta?Siupendi Ujamaa na aina zake zote,kwani mara nyingi huzaa udikteta na umungu mtu,unafiki na kujikomba,
Kim wa KoreaMfano wa dikteta?
Nini anachofanya kinaonesha yeye ni dictator?Kim wa Korea
why ? tutakufa mawazo hayafi coz tunarithi turudi katk maada Karl max yeye ni mkomunisti ambaye falsafa yake ni pana yeye tunamfananisha na yule Ghandi wa India koz wote wanamawazo yanayolingana Ila tu namna ya kufikia malengo ni tofauti.Kuna roho ya mauti inaawaandama kizazi cha Karl Max. Wanapenda kujinyonga