I prefer Adam Smith over those two Karl and HengelThread hii ni maalumu katika kuelezea na kutambua mchango wa wanafalsafa mbalimbali wa kiuchumi au kisiasa katika dunia hii ya usasa.
Ruksa member yoyote mwenye uelewa na ufahamu kuhusu mwanafalsafa wa kiuchumi au kisiasa anaye mfahamu kumuelezea humu.
Binafsi yangu nitaanza na hawa wawili maarufu, Karl Marx na Adam Smith
Karl Marx
Huyu ni mwanafalsafa maarufu katika masuala ya uchumi na siasa mchango wake mkubwa binafsi nautambua zaidi katika mageuzi ya kisiasa katika mataifa mbalimbali dunianiView attachment 2589144
Sehemu kubwa alipo fanikiwa zaidi Marx mpaka sasa ni kwenye mageuzi ya kisiasa
Vitabu vyake maarufu duniani ni Das Kapital na The cummunist manifesto.
Maarufu zaidi ni "The cummunist manifesto" kilicho andikwa kwa ushirikiano na mwanafalsafa mwenza wa kijerumani Frederick Engels hiki ndicho kitabu kilicho leta mageuzi makubwa sana katika mataifa mbalimbaliView attachment 2589143
Adam Smith
Bwana Smith yeye alikuwa mwanafalsafa na mtaalamu wa masuala ya uchumi, asili yake ni uskotishi.View attachment 2589161
Bwana Smith mchango wake unatambulika zaidi duniani kupitia mawazo yake kuhusu dhana nzima ya uchumi bora ndani ya kitabu chake maarufu zaidi cha " The Wealth of Nation's"View attachment 2589159
miongoni mwa vitabu vyake maarufu ni pamoja na The Wealth of Nation's na The theory of moral sentiments
Mchango wa Smith katika dunia ya usasa ndani ya mataifa mbalimbali umejikita katika masuala ya uchumi au mageuzi ya kiuchumi katika mataifa mbalimbali duniani
Smith ni mshindi wa mageuzi ya kiuchumi wakati Marx yeye ni mshindi katika mageuzi ya kisiasa/tawala katika dunia ya usasa
Lord KeynesApart from Mr.smith mwengine unaye mfahamu ?
Free market economy and Gross domestic product were his concepts -Adam Smith.Thread hii ni maalumu katika kuelezea na kutambua mchango wa wanafalsafa mbalimbali wa kiuchumi au kisiasa katika dunia hii ya usasa.
Ruksa member yoyote mwenye uelewa na ufahamu kuhusu mwanafalsafa wa kiuchumi au kisiasa anaye mfahamu kumuelezea humu.
Binafsi yangu nitaanza na hawa wawili maarufu, Karl Marx na Adam Smith
Karl Marx
Huyu ni mwanafalsafa maarufu katika masuala ya uchumi na siasa mchango wake mkubwa binafsi nautambua zaidi katika mageuzi ya kisiasa katika mataifa mbalimbali dunianiView attachment 2589144
Sehemu kubwa alipo fanikiwa zaidi Marx mpaka sasa ni kwenye mageuzi ya kisiasa
Vitabu vyake maarufu duniani ni Das Kapital na The communist manifesto.
Maarufu zaidi ni "The cummunist manifesto" kilicho andikwa kwa ushirikiano na mwanafalsafa mwenza wa kijerumani Frederick Engels hiki ndicho kitabu kilicho leta mageuzi makubwa sana katika mataifa mbalimbaliView attachment 2589143
Adam Smith
Bwana Smith yeye alikuwa mwanafalsafa na mtaalamu wa masuala ya uchumi, asili yake ni uskotishi.View attachment 2589161
Bwana Smith mchango wake unatambulika zaidi duniani kupitia mawazo yake kuhusu dhana nzima ya uchumi bora ndani ya kitabu chake maarufu zaidi cha " The Wealth of Nation's"View attachment 2589159
miongoni mwa vitabu vyake maarufu ni pamoja na The Wealth of Nation's na The theory of moral sentiments
Mchango wa Smith katika dunia ya usasa ndani ya mataifa mbalimbali umejikita katika masuala ya uchumi au mageuzi ya kiuchumi katika mataifa mbalimbali duniani
Smith ni mshindi wa mageuzi ya kiuchumi wakati Marx yeye ni mshindi katika mageuzi ya kisiasa/tawala katika dunia ya usasa
Sipendi socialism definetly siwez mpenda karl marxThread hii ni maalumu katika kuelezea na kutambua mchango wa wanafalsafa mbalimbali wa kiuchumi au kisiasa katika dunia hii ya usasa.
Ruksa member yoyote mwenye uelewa na ufahamu kuhusu mwanafalsafa wa kiuchumi au kisiasa anaye mfahamu kumuelezea humu.
Binafsi yangu nitaanza na hawa wawili maarufu, Karl Marx na Adam Smith
Karl Marx
Huyu ni mwanafalsafa maarufu katika masuala ya uchumi na siasa mchango wake mkubwa binafsi nautambua zaidi katika mageuzi ya kisiasa katika mataifa mbalimbali dunianiView attachment 2589144
Sehemu kubwa alipo fanikiwa zaidi Marx mpaka sasa ni kwenye mageuzi ya kisiasa
Vitabu vyake maarufu duniani ni Das Kapital na The communist manifesto.
Maarufu zaidi ni "The communist manifesto" kilicho andikwa kwa ushirikiano na mwanafalsafa mwenza wa kijerumani Frederick Engels hiki ndicho kitabu kilicho leta mageuzi makubwa sana katika mataifa mbalimbaliView attachment 2589143
Adam Smith
Bwana Smith yeye alikuwa mwanafalsafa na mtaalamu wa masuala ya uchumi, asili yake ni uskotishi.View attachment 2589161
Bwana Smith mchango wake unatambulika zaidi duniani kupitia mawazo yake kuhusu dhana nzima ya uchumi bora ndani ya kitabu chake maarufu zaidi cha " The Wealth of Nations"View attachment 2589159
miongoni mwa vitabu vyake maarufu ni pamoja na The Wealth of Nations na The theory of moral sentiments.
Mchango wa Smith katika dunia ya sasa ndani ya mataifa mbalimbali umejikita katika masuala ya uchumi au mageuzi ya kiuchumi katika mataifa mbalimbali duniani.
Smith ni mshindi wa mageuzi ya kiuchumi wakati Marx yeye ni mshindi katika mageuzi ya kisiasa/tawala katika dunia ya usasa.
N.b Taja au muelezee yoyote mwanafalsafa yoyote mtaalamu wa masuala ya uchumi au siasa unaye mfahamu sio lazima Marx na Smith.
At one time Karl Marx supported capitalism when Joint Stock Market or Limited Liability Companies started. He thought that that would be the death of capitalism and imperial rise of socialism but we both know he was wrong.Sipendi socialism definetly siwez mpenda karl marx
Communism Ni mfumo wa hovyo Sana Sana,Karl nikimkubali itabd nijiombe msamahaThread hii ni maalumu katika kuelezea na kutambua mchango wa wanafalsafa mbalimbali wa kiuchumi au kisiasa katika dunia hii ya usasa.
Ruksa member yoyote mwenye uelewa na ufahamu kuhusu mwanafalsafa wa kiuchumi au kisiasa anaye mfahamu kumuelezea humu.
Binafsi yangu nitaanza na hawa wawili maarufu, Karl Marx na Adam Smith
Karl Marx
Huyu ni mwanafalsafa maarufu katika masuala ya uchumi na siasa mchango wake mkubwa binafsi nautambua zaidi katika mageuzi ya kisiasa katika mataifa mbalimbali dunianiView attachment 2589144
Sehemu kubwa alipo fanikiwa zaidi Marx mpaka sasa ni kwenye mageuzi ya kisiasa
Vitabu vyake maarufu duniani ni Das Kapital na The communist manifesto.
Maarufu zaidi ni "The communist manifesto" kilicho andikwa kwa ushirikiano na mwanafalsafa mwenza wa kijerumani Frederick Engels hiki ndicho kitabu kilicho leta mageuzi makubwa sana katika mataifa mbalimbaliView attachment 2589143
Adam Smith
Bwana Smith yeye alikuwa mwanafalsafa na mtaalamu wa masuala ya uchumi, asili yake ni uskotishi.View attachment 2589161
Bwana Smith mchango wake unatambulika zaidi duniani kupitia mawazo yake kuhusu dhana nzima ya uchumi bora ndani ya kitabu chake maarufu zaidi cha " The Wealth of Nations"View attachment 2589159
miongoni mwa vitabu vyake maarufu ni pamoja na The Wealth of Nations na The theory of moral sentiments.
Mchango wa Smith katika dunia ya sasa ndani ya mataifa mbalimbali umejikita katika masuala ya uchumi au mageuzi ya kiuchumi katika mataifa mbalimbali duniani.
Smith ni mshindi wa mageuzi ya kiuchumi wakati Marx yeye ni mshindi katika mageuzi ya kisiasa/tawala katika dunia ya usasa.
N.b Taja au muelezee mwanafalsafa yoyote mtaalamu wa masuala ya uchumi au siasa unaye mfahamu sio lazima Marx na Smith.
Ruhusu pia kuweka picha, documents, Quotes, machapisho, vitabu n.k kumuhusu huyo mwanafalsafa.
The biggest mistake kwny mifumo ya kijamaa ni kukandamiza haki za binadamu,pia communism inahubiri equality ambayo haipo,ktk mfumo wa kijamaa kiongoz aweza fikiria na kuamua lolote kwa niaba ya raia wengine wote,swali ni je,vp akikosea au kupotoka????communists are the devil's workshopKwa nini ipo hivyo ?
🤔🤔🤔🤔🤔🤔Apart from Mr.smith mwengine unaye mfahamu ?
Hakuna kitu cha kipumbavu kuwahi kufikiriwa kama ujamaaThe biggest mistake kwny mifumo ya kijamaa ni kukandamiza haki za binadamu,pia communism inahubiri equality ambayo haipo,ktk mfumo wa kijamaa kiongoz aweza fikiria na kuamua lolote kwa niaba ya raia wengine wote,swali ni je,vp akikosea au kupotoka????communists are the devil's workshop
Ni mfumo wa kufukarisha watu na most of the time unazaa udikteta na occultismCommunism Ni mfumo wa hovyo Sana Sana,Karl nikimkubali itabd nijiombe msamaha
🤔🤔🤔🤔🤔🤔
Just a minute........
Labdq nipekue library yangu,vitabu vyote vinavyohusu ubepari hasa by Ayn Rand na wengineo
N.b Taja au muelezee mwanafalsafa yoyote mtaalamu wa masuala ya uchumi au siasa unaye mfahamu sio lazima Marx na Smith.
Ruksa pia kuweka picha, documents, Quotes, machapisho, vitabu n.k kumuhusu huyo mwanafalsafa.