Karimjee vipi wadau?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Karimjee vipi wadau??

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mdau, Jan 15, 2011.

 1. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #1
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,719
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Jamani ndugu wanajamvi,mbona hakuna mtu anayetuletea habari toka Karimjee Hall??
   
 2. K

  Kivia JF-Expert Member

  #2
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 278
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Nipo ktk mdahalo wa katiba NKR HALL.
   
 3. b

  bayonet Member

  #3
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna jipya kujikweza tu.....
   
 4. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #4
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,770
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Mi naangalia ITV kongamano la Katiba
   
 5. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #5
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,719
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Am serious, wadau..
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jan 15, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,054
  Likes Received: 3,804
  Trophy Points: 280
  Kwani kuna nini huko?
   
 7. m

  mtemiwao JF-Expert Member

  #7
  Jan 15, 2011
  Joined: Sep 5, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Subiri kuna jamaa anaitwa bayonet ataleta habari baadae akishashughulikia
   
 8. Mdau

  Mdau JF-Expert Member

  #8
  Jan 15, 2011
  Joined: Mar 29, 2008
  Messages: 1,719
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  Mjadala ulitangazwa toka jana humuhumu jf
   
 9. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #9
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,770
  Likes Received: 490
  Trophy Points: 180
  Kama mpaka sasa hivi hiyo habari haijapatikana mjue ni yale yale NO NEWS
   
 10. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #10
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 972
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Mjadala juu ya nini?
   
 11. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #11
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 972
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanks. Bila shaka, kwa kuwa mjadala wa Katiba umekwisha, anaweza kuconnect huko kama kuna news. Pls assist!
   
 12. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #12
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  mimi niko pemba mnazi kwenye ufukwe napunga upepo! Mnijuze kilicho jiri tafadhali yasije kuwa kama ya Tunisia wakati wengne tuko mchangani.
  teh
   
 13. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #13
  Jan 15, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  yaleyaleeeeeeeeeeeeeeeeeh
   
 14. C

  CITYBOY Member

  #14
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tamko la waislam Dar litapatikana kwenye vyombo vya habari vyote ilikuondoa upotoshaji habari za waislam.Kongamano ilikua kujibu hoja nyingi za maaskofu kwa serikali zinazolenga waislam nchini. Tumevumilia sana sasa muda wa amani Tanzania unahesabika.Tamko lilikua live imanifm.
   
 15. Didia

  Didia JF-Expert Member

  #15
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 721
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Samahani sijaelewa hapo penye red. Kwani serikali niya waislam?
   
 16. bluetooth

  bluetooth JF-Expert Member

  #16
  Jan 15, 2011
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 3,876
  Likes Received: 589
  Trophy Points: 280
  kwahiyo wewe unawawakilisha kina nani....waislam au mashehe au imani fm ..... au unawakilisha kundi la magaidi.....
   
 17. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #17
  Jan 15, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  ndimi zimeanza kuwa na matege!
   
 18. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #18
  Jan 15, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,032
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  wanataka jihad au???? hawataweza maaskofu uzuri wakristo wanapenda kupuuza mambo yasiyokuwa na tija ktk maendeleo ndo maana wanasonga mbele kielimu na kiuchumi.hawataweza kushinana na wakristo hata iweje.walisahchelewa iliyopo waombe ushauri wa wao kuinuka si kuweka majungu.
   
Loading...