donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
Yes mkuu pilau kukuMkuu hiyo pilau?
Hahaha mkuu unakeep memory sana. Kama kawaida mkono wangu huo pilau kuku na makachu yakujigiMhhhhhh napenda kula lakini chakula hiki hapana.
Umepika wewe nini mkuu?
Nimekumbuka chapatti zako za kipindi kile [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kiko bienangai mkuuUzuri wa chakula.... 30% Muonekano wa kuvutia, 30% Harufu ya kuvutia, 30% Ladha ya kuvutia, hiyo 10% ndio yote yaliobakia!... Hiki chako muonekano mmh! harufu sijui, ladha sijui...
MweeehMbona mboga tu, wapi ugali?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] ubunifu tu mkuuMbona diko liko mwororo kabisa, kitu pilau +kuku mzima tomato+kachumbali pembeni mtindi.
Ila hili ni bomu unatengeneza mkuu.
[emoji53] [emoji53] [emoji53] pilau mtindi[emoji15]
[emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] naanzaje sasa kusahau madikodiko yako?Hahaha mkuu unakeep memory sana. Kama kawaida mkono wangu huo pilau kuku na makachu yakujigi
Hapana mkuuMbona hiyo nyama kama imeungua?
Pilau kwa nyama ya kuku, nyama ya ng'ombe,kachumbari, saladi kwa mbali na mtindiCjaelewa ni pilau biriani ama mseto naona mchuzi tu juu
Shukrani mkuu. Yaan a day nikioa, hakyanan mke wangu atakua na wivu sana sababu akihisi nachepuka roho itamuuma kwamba mchepuko unafaidi mahanjumati yaliyopikwa kwa mkono wa mumewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] naanzaje sasa kusahau madikodiko yako?
Ila next time jitahidi visiungue sana.
And ni jambo zuri kuona mwanaume anajipikia.[emoji122]
Hahahahahahahahah.....[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji38]Kwa mchanganyo huo utakunya mavi rangi ya rainbow