kweyamba_dave
JF-Expert Member
- Oct 2, 2012
- 961
- 484
hahaha, shukriya mkuu, af huyu jamaa kamam Bujibuji
...thx.
Inahitaji ufundi namna ya kuitumia!Hahaahahhaha hilo chapati si mchezo
Mkuu tuelekeze namna ya kuitumia!Chapati mkuu. Karibu tule
Yaani hata mimi sijaielewa kabisa!Hiyo ni chapatiiii.....................au ...turubai la kufunukia cruiseriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Teh teh teh!akutukanaye hakuchagulii tusi!huyo ana makalio kwa mbele??
Teh teh teh!kumbe tunakula kama wamasai wanavyokulaga mbuzi!Mkuu tanaiweka thn wana jf woote tunaizunguka na bakuli la supu
Vipi mvua ikikunyeshea?Mi naitamani nikashone suti