magagagigikoko Senior Member Joined Nov 13, 2017 Posts 167 Reaction score 170 Jan 13, 2021 #1 Karibuni nyote hapa JF. Nyumba ya hekima haina mgeni wala mwenyeji, kazi ni moja tu hapa. Chota hekima yako tembea mbele. Wapo baadhi humu wana akili fyatu, na hao hawalosekani katika jamii. Hao ni wa kupuuza maisha yaendelee. JF Member
Karibuni nyote hapa JF. Nyumba ya hekima haina mgeni wala mwenyeji, kazi ni moja tu hapa. Chota hekima yako tembea mbele. Wapo baadhi humu wana akili fyatu, na hao hawalosekani katika jamii. Hao ni wa kupuuza maisha yaendelee. JF Member
Ulimakafu JF-Expert Member Joined Mar 18, 2011 Posts 31,867 Reaction score 13,847 Jan 13, 2021 #2 Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,134 Reaction score 126,435 Jan 18, 2021 #3 Hao wa akili fyatu ni ushamba tu wa mitandaoni hivyo wawazoweage tu. 😂😂😂
Mamndenyi Platinum Member Joined Apr 11, 2011 Posts 44,689 Reaction score 64,728 Jan 18, 2021 #4 Receptionist..