Karibuni Ugali wa Muhogo ama Bada na Shombo

Karibuni Ugali wa Muhogo ama Bada na Shombo

Daah naupenda sana huu ugali hasa uupatie mchuzi wa nguru au papa wa chukuchuku nitakula kisha mje kuniinua na winchi[emoji1] [emoji1]
next tyme leo kula kwa thamaki
 
Hapo upate nyama choma na kichuri mbona dk chache tu ugali unaisha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom