msabato masalia
Senior Member
- Dec 3, 2008
- 118
- 20
Sijui ni singo gani inafuata, maana bendi yetu CCM,hawachuji, hizi ni baadhi ya singo za hivi karibuni,kadi 2 za Dr Slaa,mwangosi(RIP), nani achinje,gesi ya ntwara,matokeo ya form 4,kibanda(pole sana), gaidi Lwakatare. Sijui ijayo ni ipi?