Jof3
JF-Expert Member
- Jan 28, 2013
- 663
- 323
Habari wana JF, leo nimeona tukumbushie kauli mbali mbali za viongozi wetu, kwan kwa kauli hizo itatusaidia kujua tabia, uzalendo na vituko vyao. Mimi naanza na chache zingine mtachangia
1. Kadri unavyopanua ndio jinsi watu wanavyotamani- Profesa Anna Tibaijuka.
- alikuwa akimaanisha kupanua miradi ya maendeleo, wabunge wakabadili maana vichwani mwao na kucheka.
2. Hizo hera (akimaanisha Hela ) kama alizipokea kupitia mkononi basi zitatokea mahali popote ambapo pako wazi - JPM
- Hapo alinivuruga nilipowaza maeneo ya binadam ambayo yako wazi
3. Watakaohama ccm wahame mimi ntakuwa wa mwisho - E. LOWASSA.
- Sasa hivi yupo zake Chadema hana haraka na maisha.
4. Bora wananchi wale nyasi lakini ndege ya Raisi lazma inunuliwe-
Malizia zingine zipo nyingi mnazo
KARIBUNI
Sent from shimoni