Karibuni tule

Yana wanawake ni wakuthaminiwa sana.
Unaweza kuta apo maza anawaza mtoto wake kushiba, lakini mdingi walaa!
 
Sisi waafrika tunapata tabu sana, ndio maana kuna wakati huwa najiwazia sisi waafrika tunaweza tukapata tiketi ya peponi moja kwa moja, haya maisha tunayoishi ni moto tosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…