Karibuni tule urojo.

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,285
Niko chimbo moja local, nafanza hii makitu.
Ni awesome aje... I just feel like Zanzibar!
Karibuni wakuu.
 
unanikumbusha disko la bwawani znz, pia huwa napenda kwenda kwenye tamasha la sauti ya busara, mwezi february.
 
Uko warmly welcomed Charminggirl.
Tshepo uzimkhaba ya Mzanzi, takupeleka huko siku moja, namaanisha Afrika Kusini. Si utaenda mrembo?

wooh,ntafurah. i have a friend of mine ni msouth bas huwa anapenda kwel kunifunza ki-khosa bt nashindwa kushika hata salamu. mwe kichwa panz hki cjui nimbadilishie nani?
 
Last edited by a moderator:
unakula urojo na vireja wewe pembeni kuna glasi ya juis ya ukwaju ..........lol unafaidije?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom