Karibuni tule mishikaki jamani...!!!

Karibuni tule mishikaki jamani...!!!

Tupo njiani tunakuja kama vp bakiza ya kutosha
 
Karibuni wana JF wote tujumuike kwenye hula hii mishikaki. Dont miss it maana mishikaki mitamu kama hii ni adimu sana kupatikana.

318776_369640359774353_722480354_n.jpg
Ebwanae niwekee mitano nikirudi toka masjid nitaipitia. Hiyo white meat iko poa.
 
Khaaaaa........
I won't taste it. Kula mwenyewe.
 
Back
Top Bottom