Mkuu ,mi umenikumbusha mbali kidogo kipindi hicho, zilikua zinanigonga hizi Q tag kinoma ahahaha,duuh maisha yasonge tu,ila watoto wetu wamerahisishiwa sana mambo haya.
Mkuu ,mi umenikumbusha mbali kidogo kipindi hicho ,zilikua zinanigonga hizi Q tag kinoma ahahaha,duuh maisha yasonge tu,ila watoto wetu wamerahisishiwa sana mambo haya.
Ni kweli kabisa, Jana nimemsikia msomi katumia question tag nilishtuka kidogo maana aliongea kitu ambacho hakiendani. Nikapata wazo kwa nini tusijifunze kuhusu hizi, ndipo nikaamua kuja na hii maada.