PlayBoyMwema
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 1,716
- 1,842
kati ya hii oppo na tecno cx ipi ni kali wazee...
Niliona sehemu hadi ifike tza ni 1.6mMkuu hii bei itapatikana wapi?
pengine isije kabisa mkuu,Mkuu shukrani kwa uchambuzi.Hapa kwetu itauzwa bei gani?
Samahani hii bei ni ya Oppo R9 plusNiliona sehemu hadi ifike tza ni 1.6m
ni hio xiaomi nilioitaja ambayo nayo ni ngumu kuipata na samsung pia wameitumia kwenye galaxy A9 pro ila nafkiri bei kama sio rafikiSasa Kwa sasa simu gani ni nzuri inayoendana na hizo specifications na bei rafiki
Shukrani sana mkuu.xiaomi haijafika bongo?ni hio xiaomi nilioitaja ambayo nayo ni ngumu kuipata na samsung pia wameitumia kwenye galaxy A9 pro ila nafkiri bei kama sio rafiki
kutoa hizo sifikirii simu nyengine inayolingana specs uta downgrade tu
zipo ila bei mara nyingi inakuwa kubwa angalia kupatana na jumia utazionaShukrani sana mkuu.xiaomi haijafika bongo?