Karibuni tuambiane ukweli kuhusu ulimwengu

Je,unatoa neno Gani KUHUSU dini?!
Ni za kuzifata au kuzipotezea?
 
Nini maoni yako KUHUSU hizi dini?!
Je,unadhnai kutakuwa Na adhabu baada ya kifo?
 
Umeelaza vizuri tu na kwa kirefu.

Ila mkuu unapokiri kuwa sie binaadamu hatuwezi kujua kwanini tumeumbwa ispokuwa ni yule pekee aliyetuumba ndiyo anayejua kwanini ametuumba,basi haukupaswa tena kuja kusema kwamba mungu ametuumba kama kuonesha tu sanaa yake.

Maana kwa kusema hivyo ni kwamba nawe umeongeza sababu nyengine(mbali na zile sababu zenye kuelezwa na dini) yenye kueleza lengo la mungu kutuumba,na kwa hivyo sio kwamba haujui lengo ni nini. Jinsi uishivyo wewe sasa hivi ni athari ya hivyo ujuavyo kuhusu lengo la mungu kukuumba,kama ambavyo watu wa dini wanavyoishi ni athari ya jinsi wajuavyo kwanini wameumbwa.

Mfano mwezi huu waislamu hujizuia kula kuanzia mchana haji jioni kwa mwezi mzima,yote ni kwa kujua kuwa wameumbwa na kuletwa hapa kwa lengo la kuabudu. Lakini wewe unaweza usifanye ibada yeyote kwa sababu ujuavyo hilo sio lengo la sie kuumbwa kwa maana hiyo wewe utaishi vile ujisikiavyo.
 
Umejitahidi kuelezea vizuri
Lakini kuna mkanganyiko umeuweka!
Kutokana Na experience yangu kuna mahali hususani kwenye hitimisho huko mwishoni UMEONGEA facts!.
Huo mfano wa binadamu Na sisimizi
 
Mimi naona kama vile hukuwa unasoma Biblia! Maybe ulikuwa unasoma some twisted version ya Biblia, Hivi kweli Mungu aliumba dunia kisanii? Really kweli hii ndio biblia?
 
umeamini na kuorodhesha usemayo kuwa yamepotoshwa. japo mi si muumini wa imani hizo, ulitakiwa utoe mwanga, japo kidogo, kuhusu ukweli uujuao ulio kuongoza kugundua kuwa wayasemayo ni upotoshaji.
 
Uumbaji
(Uumbaji wa Mwanadamu)

Kuna nadharia nyingi juu ya Uumbaji au Chimbuko LA Binadamu, tuangalie kwa uchache ;-

Dini; Dini zetu mbili tulizoletewa na Wageni zinaeleza kuwa asili ya Mwanadamu ni Uwongo kisha akapuliziwa Pumzi na Mwenyezi Mungu.

Wapagani; Haaa hudai kuwa Asili ya Mwanadamu ni Sokwe (swali LA Kujiuliza mbona sokwe) mbugani hawabadiliki kuwa binadamu? Haaa muasisi Wao ni Charles Darwin na Evolution theory yake.

Scientists (Atomism) haaa hudai kuwa binadamu alijiumba mwenyewe baada ya smallest partical kuungana na binadamu akatokea.

Nawasilisha
Nipo Tayari Kujifunza, kukosolewa na kubadilishana Elimu
 
Mleta Mada sijaelewa uliposema Viumbe mbadala ulitaka kumaanisha viumbe tofauti na sisi Mwanadamu? Mfano Majini na wale jamaa from Out space?
 
Kifo kina Siri nzito sana japo wachache wanaweza kujua maana ukijua hili, mwenzio anajua lile,

Kifo ni Ukamilifu kutoka hata moja kwenda Nyingine.

Wale wanao amino katika Mungu wanaamini ukifa unasubilia siku ya Haki (Kiama)

Wale wengine wanaamini Katika Maisha baada ya Maisha (Rebirth) wanaamini ukifa safari ya maisha yako itaendelea sehemu nyingine ukiwa kiumbe tena, hapa itategemea na Matendo yako.
 
Yani unachokisema hapa mkuu ni kwamba hujui kwanini mungu katuumba lakini unajua kuwa sie tunatakiwa tuishi tu na sababu ya kuumbwa kwetu itatimia japo hujui ni ipi?

Hii ni ngumu kidogo kuimeza,maana ni sawa na kusema hujui na wala hautaki kujua.
 
Mkuu nataka kila mtu atoea experience ya maisha yake KUHUSU hii Dunia!
Kuna wengine waliona mambo!.tofaut so tunashare experience
Wewe utakuwa Lucifer maana swali lako linahitaji conspiracy theory kuelezea sasa kama hutak unataka nini mkuu
 
Mtoa mada kakataa conspiracy mkuu
 
Someni vitabu vya dini vijana acheni kudanganyana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…