Mkuu nataka kila mtu atoea experience ya maisha yake KUHUSU hii Dunia!Mkuu umetupa wakati mgumu kwa sababu ya msimamo wako hutaki conspiracy theories unamaanisha kuna mtu/watu wameshakuta na Mungu mubashara? Kufa Kisha kufufuka na akili zao sawia bila hitirafu? Inaoneka umewahi toka duniani na kupiga misire huko nje na hao jamaa zako aliens? Sasa mkuu kwanini usitupe elim juu ya masuala hayo matano? Inaoneka unamengi umeyoshuhudia na kushiriki kama jina lako linavyoonekana.
[emoji23][emoji23][emoji23]Mpaka Sasa muktadha wetu kwenye huu uzi hauelweki. Someone please put updates on our status?
Safi sana!.Mkuu neno Mungu ni cheo ambacho mtu anaamua kukipa kitu fulani kinachoonekana au kisichoonekana na kukiamini kuwa chenyewe ndio mwanzo wa kitu fulani(uhai ama kila kitu),hasa vitu hivyo huaminika kuwa na nguvu fulani.
ktk kuchanganua kuna miungu wengi,ndio maana binafsi huwa siwaelewi wale wasemao Mungu wa dini fulani ndo Mungu wa dini fulani wkt kunatofauti..
Dhana ya mungu ni dhana iliyotungwa na binadamu aidha kujifariji ama watu fulani kutawala watu fulani au misingi ya kiutamaduni!..
kumbuka sipingi neno Mungu!,kwasababu ni cheo tu.. lkn dhana za Mungu waliopo(waliopewa cheo).
Mkuu binafsi sioni kifo kama kina siri!,bali ni utimilifu wa mazingira.
tunasahau kitu fulani badala ya kusoma mazingira tunasoma hisia zetu!.. viumbe huogopa kifo na ndio maana hujiprotekti na mazingira hutulinda lkn kifo ni lazima kitupate!
viumbe wakiwa wengi kwenye mazingira na mazingira yakishindwa kutubeba it means mazingira yataharibika na viumbe wenyewe wataharibika!,so kifo kinaumuhimu ktk mazingira lkn what matter....
Karibu kaka kwa mchango wakoWatu mmesoma maelekezo kwanza kabla ya kuanza kujibu hayo maswali au mnajibu tu?
Mkuu wewe unayo dini?!Mkuu neno Mungu ni cheo ambacho mtu anaamua kukipa kitu fulani kinachoonekana au kisichoonekana na kukiamini kuwa chenyewe ndio mwanzo wa kitu fulani(uhai ama kila kitu),hasa vitu hivyo huaminika kuwa na nguvu fulani.
ktk kuchanganua kuna miungu wengi,ndio maana binafsi huwa siwaelewi wale wasemao Mungu wa dini fulani ndo Mungu wa dini fulani wkt kunatofauti..
Dhana ya mungu ni dhana iliyotungwa na binadamu aidha kujifariji ama watu fulani kutawala watu fulani au misingi ya kiutamaduni!..
kumbuka sipingi neno Mungu!,kwasababu ni cheo tu.. lkn dhana za Mungu waliopo(waliopewa cheo).
Mkuu binafsi sioni kifo kama kina siri!,bali ni utimilifu wa mazingira.
tunasahau kitu fulani badala ya kusoma mazingira tunasoma hisia zetu!.. viumbe huogopa kifo na ndio maana hujiprotekti na mazingira hutulinda lkn kifo ni lazima kitupate!
viumbe wakiwa wengi kwenye mazingira na mazingira yakishindwa kutubeba it means mazingira yataharibika na viumbe wenyewe wataharibika!,so kifo kinaumuhimu ktk mazingira lkn what matter....
Unadhani yapo maisha baada ya kifo?!What matter is kuweka mazingira salama,hilo ndo jicho langu linavyokiona kifo.
binadamu tunajihesabu kimoja namaanisha pekee lkn mazingira yanatuangalia kuwa material fulani,still yapo hata kama akifa mmoja au mia but laki moja bado wapo!,and that why ktk kuprotect viumbe wasipotee wote kuna mabara endapo kukitokea uvamizi wa chochote kwa watu wa bala fulani but nawengine wapo watasambaa tena.. binadamu pia ni mlinzi wa dunia.
Nikiangalia kuna nyota nyingi sana ambazo ni kama jua letu,naweza sema yeah kuna viumbe wengine aidha wanafanana nasi au hawafanani nasi.
Ok. Share experiences yako!.Hata sielelewi mnaongelea nini
Sawa mkuu ngoja tusubiri wenye tajiriba juu ya ulimwengu na uliyouliza... Sie wengine bado wadogo ngoja tujifunze kutoka kwenu wazee/wenye umri mkubwa.Mkuu nataka kila mtu atoea experience ya maisha yake KUHUSU hii Dunia!
Kuna wengine waliona mambo!.tofaut so tunashare experience
Hapo kwenye blue mkuu ni kipi kinakufaya uamini hivyo ni dalili zipi zina support hivyo unavyoamini.Mimi nilikuwa nikipenda sana kusoma biblia wakati nikiwa mtoto mdogo hadi wazazi wangu wakawa wananipa sifa na kunisihi niendelee hibyo hivyo hadi ukubwani. Sasa wakati nikienfelea kusoma na umri ukikua nikawa napatwa na mashaka kuhusu kile kitabu kitakatifu. Kwa mtazamo wangu, kile kitabu naona hakimuelezi mungu kama ambavyo naamini yupo (mimi naamini kuwa mungu yupo, kwa maana ya kwamba kitu au nguvu iliyounda ulimwengu na kuuweka mahala pake). Lakini pia nakiri kuwa biblia ni kitabu kizuri sana katata upande wa kuijenga jamii katika kuishi katika muingiliano wa wao kwa wao lakini kina mapungufu katika muongiliano wa watu na mungu.
Mimi naamini kuwa mungu aliumba ulimwengu kama sehemu ya sanaa kwake na hahitaji jambo lolote kutola kwetu na hawajibiki kwa lolote kwetu kwa sasa ni kwa sababu aliweka kanuni tangu mwanzo na kupitia hizo kanuni ndizo zinaongoza mambo yoote hadi sasa.
Yes Na ndicho kinachotakiwa hapa!.Hapo kwenye blue mkuu ni kipi kinakufaya uamini hivyo ni dalili zipi zina support hivyo unavyoamini.
Dadavua mkuu!.Mimi nilikuwa nikipenda sana kusoma biblia wakati nikiwa mtoto mdogo hadi wazazi wangu wakawa wananipa sifa na kunisihi niendelee hibyo hivyo hadi ukubwani. Sasa wakati nikienfelea kusoma na umri ukikua nikawa napatwa na mashaka kuhusu kile kitabu kitakatifu. Kwa mtazamo wangu, kile kitabu naona hakimuelezi mungu kama ambavyo naamini yupo (mimi naamini kuwa mungu yupo, kwa maana ya kwamba kitu au nguvu iliyounda ulimwengu na kuuweka mahala pake). Lakini pia nakiri kuwa biblia ni kitabu kizuri sana katata upande wa kuijenga jamii katika kuishi katika muingiliano wa wao kwa wao lakini kina mapungufu katika muongiliano wa watu na mungu.
Mimi naamini kuwa mungu aliumba ulimwengu kama sehemu ya sanaa kwake na hahitaji jambo lolote kutola kwetu na hawajibiki kwa lolote kwetu kwa sasa ni kwa sababu aliweka kanuni tangu mwanzo na kupitia hizo kanuni ndizo zinaongoza mambo yoote hadi sasa.
Ila na wewe mleta mada nawe ungeeleza upande wako pia ili watu wapate kuelewa zaidi mada yako.Yes Na ndicho kinachotakiwa hapa!.
Ungeeleza nawe upande wako pia ili watu wapate kuelewa zaidi mada yako.Yes Na ndicho kinachotakiwa hapa!.
Binafsi nitakuja kuelezeaUngeeleza nawe upande wako pia ili watu wapate kuelewa zaidi mada yako.